Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

Local beer ni More safe kuliko Izo Imported kwa mazingira ya Nchi yetu, Kufanya Countfeit kwenye Local beer ni ghali na Hailipi kabisa ila Issue za Black market kwenye Imported beer inalipa kwasababu Price ya Imported iko Juu kidogo
 
Back
Top Bottom