T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Wapi wanaweka figo ya nguruwe, na kwa bei gani?Fgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magad
Kwanza una umri gani, je umekula au njaa inakusumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi wanaweka figo ya nguruwe, na kwa bei gani?Fgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magad
Dah!! Nilijuaga una umri mkubwa sana kumbe badoNimejiunga na hii ID 2017 naelekea kuanza form 5. Hatujapishana sana ila nina ID ya zamani stress za NECTA form four zikafanya nisahau password
Tatizo ni figoTatizo la figo limekuwa kubwa sana sijui nini tatizo
Nikuulize ww maana sjui njaa n nn ebu nielezee labda nitakuja kujua sku za mbelenWapi wanaweka figo ya nguruwe, na kwa bei gani?
Kwanza una umri gani, je umekula au njaa inakusumbua?
Na kina dokta Janabi wanaupromote sana huu ugonjwa kwenye media.Hatari kaka hujiulizi kwanini miaka ya nyuma hili tatzo halikuwa kubwa kama zamani.
Ongeza hapo soda za energy na supu ya pweza. Zote hizo ni hatari.Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k
Nakuelewa, unalenga gharama za matibabu kwa hilo ntakubaliana nawe. Ila magonjwa yote mawili yana athiri ubora wa maisha na mtindomaisha wote wa mgonjwa.Bora sukari mara elfu kuliko figo tumia akili utajua ...yani ukimwambia mtu yoyote achague figo au kisukari basi watu tungechagua kisukari bila ya kupepesa macho.... figo na cancer ni ngoma draw au figo inezidi kansa kidogo
Siyo gharama za matibabu tu kunskitu kikubwa zaidi ya gharama za matibabu nimekielezaNakuelewa, unalenga gharama za matibabu kwa hilo ntakubaliana nawe. Ila magonjwa yote mawili yana athiri ubora wa maisha na mtindomaisha wote wa mgonjwa.
Uliwahi ona mtu kawa disgnosed na ugonjwa wa figo akaishi miaka hata 10?Nyote wapuuzi hakuna ugonjwa wenye unafuu hapo "muulize Mbunge bwege, au mbambucha"
Ok, ila naambiwa na mtaalamu hapa kisukari ndio sababu inayoongoza ya ugonjwa wa figo. Sasa unafuu wake uko wapi? Ukiwa na kisukari uko katika hatari kubwa zaidi ya kupata shida ya figoSiyo gharama za matibabu tu kunskitu kikubwa zaidi ya gharama za matibabu nimekieleza
Unachanganya mada hapa tunaongelea mgonjwa wa kisukari asiye na ugonjwa wa figo na mgonjwa wa figo asiye na ugonjwa wa kisukariOk, ila naambiwa na mtaalamu hapa kisukari ndio sababu inayoongoza ya ugonjwa wa figo. Sasa unafuu wake uko wapi? Ukiwa na kisukari uko katika hatari kubwa zaidi ya kupata shida ya figo
Bado huelewi somo. Life expectancy ya mgonjwa wa figo anayefanyiwa dialysis bongo hii na huduma zetu mbovu haifiki hata miaka 10, tena hiyo ni world average ambayo bongo wagonjwa hawafiki hiyo. Yaani utatumia 500,000 ya dialysis kila wiki kwa miaka 10 kisha uondoke. Kwa mwezi milioni 2, kwa mwaka milioni 24, kwa miaka 10 milioni 240 bila kuzingatia inflation.Nakuelewa, unalenga gharama za matibabu kwa hilo ntakubaliana nawe. Ila magonjwa yote mawili yana athiri ubora wa maisha na mtindomaisha wote wa mgonjwa.
Nimekuelewa vyema mkuuBado huelewi somo. Life expectancy ya mgonjwa wa figo anayefanyiwa dialysis bongo hii na huduma zetu mbovu haifiki hata miaka 10, tena hiyo ni world average ambayo bongo wagonjwa hawafiki hiyo. Yaani utatumia 500,000 ya dialysis kila wiki kwa miaka 10 kisha uondoke. Kwa mwezi milioni 2, kwa mwaka milioni 24, kwa miaka 10 milioni 240 bila kuzingatia inflation.
Wakati kwa kisukari type 1 na type 2 zote wagonjwa wake wako na pungufu ya life expectancy kulingana na age group ya muongo waliogundulika na kisukari, ila bado wanaishi umri mrefu.
Mtu akigundulika na ugonjwa wa figo bongo na akatibiwa vizuri akatumia hiyo milioni 240 its likely havuki miaka 10 atakufa kabla hajaiona 20. Mtu mwenye kisukari akiishi vizuri, kuanzia miaka 10 anaoa/kuolewa anazaa watoto na ikiwezekana anaona wajukuu.
Unalinganisha toroli na fuso
Mara nyingi mtoa figo na mtolewa figo wakiishi sana ni miaka 4 hadi 8 tu wanakufa wote wawiliBado huelewi somo. Life expectancy ya mgonjwa wa figo anayefanyiwa dialysis bongo hii na huduma zetu mbovu haifiki hata miaka 10, tena hiyo ni world average ambayo bongo wagonjwa hawafiki hiyo. Yaani utatumia 500,000 ya dialysis kila wiki kwa miaka 10 kisha uondoke. Kwa mwezi milioni 2, kwa mwaka milioni 24, kwa miaka 10 milioni 240 bila kuzingatia inflation.
Wakati kwa kisukari type 1 na type 2 zote wagonjwa wake wako na pungufu ya life expectancy kulingana na age group ya muongo waliogundulika na kisukari, ila bado wanaishi umri mrefu.
Mtu akigundulika na ugonjwa wa figo bongo na akatibiwa vizuri akatumia hiyo milioni 240 its likely havuki miaka 10 atakufa kabla hajaiona 20. Mtu mwenye kisukari akiishi vizuri, kuanzia miaka 10 anaoa/kuolewa anazaa watoto na ikiwezekana anaona wajukuu.
Unalinganisha toroli na fuso
Lakini a simple internet search does not suggest ulichosema hapa.Mara nyingi mtoa figo na mtolewa figo wakiishi sana ni miaka 4 hadi 8 tu wanakufa wote wawili
Yanafichwa kwa maslai ya kuondoa hofu ila ukweli ndiyo huo ..kama nilivyo sema ugonjwa wa figo ni ugonjwa fedhea kwa familia ..siku zote doctor anatakiwa kumtia moyo mgonjwa ...kwa hapa tz asilimia 60% wanaishi kwa hiyo miaka niliyo kupa asilimia 40 tu ndiyo wanavukaLakini a simple internet search does not suggest ulichosema hapa.