😁😁😁 wanasaini tu, mimi pia sielewi.Aug 5. 2017 Mseveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Mseveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!
Kazi iendelee.
Aug 5. 2017 Mseveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Mseveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!
Kazi iendelee.
Kuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.Aug 5. 2017 Mseveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Mseveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!
Kazi iendelee.
Great. Ni utaratibu tuuProblem ni information.
Pamoja na hayo mbona mbwembwe kwenye hili bomba zimezidi huwa hatuzioni kwenye mikataba mingine ya aina hii, ukweli ni kwamba pesa hakuna wafadhili Total na Tullow bado hawajaewana.Kuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.
Kwenye hii mikataba iko ya intergovermental, na host goverment. Intergoverment ni mikataba ya serikali za Uganda na Tanzania, ambayo imesainiwa pande zote. Host government ni mkataba wa sisi Tanzania ni host tuu wa bomba la mafuta. Mwenye mafuta ni Uganda, mchimbaji ni Total, ndie mwenye bomba. Tanzania tunapitisha tuu. Mfano ule mkataba wetu wa asilimia 16% ya free carried shares kati ya Tanzania na Barrick, imesainiwa mikataba 12!.
Hivyo hata baada ya kisainiwa mikataba iliyopo, bado kuna mingine itafuata.
Problem ni information.
Wizara husika wangejiongeza kutoa japo ufafanuzi ili kuepusha maneno yasiyo ya lazimaKuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.