Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!

Kazi iendelee.
===============
Ukweli ni kwamba.....
===============
Ni maigizo tupu
 
BS, business secrets my foot.

Contract ya $2.9Billions ambayo NASA imeipa SpaceX iko mtandaoni, yeyote anayetaka anaweza kuisoma.

Mikataba mingi ya serikali kwenye nchi za kiafrica huwa inafichwa kwa sababu za upigaji. Nchi zilizoendelea mikataba ya serikali isiyohusisha masuala ya siri za usalama Taifa inakuwa kwenye umma "public domain" na yoyote anaweza kuipitia.
contents za mikataba mingi ni confidential for safeguarding business secrets. Ila kwa mikataba ya kitaifa, wawakilishi wetu rasmi wanayo haki zote kujua details zote but not to disclose them.
P
 
BS, business secrets my foot.

Contract ya $2.9Billions ambayo NASA imeipa SpaceX iko mtandaoni, yeyote anayetaka anaweza kuisoma.

Mikataba mingi ya serikali kwenye nchi za kiafrica huwa inafichwa kwa sababu za upigaji. Nchi zilizoendelea mikataba ya serikali isiyohusisha masuala ya siri za usalama Taifa inakuwa kwenye umma "public domain" na yoyote anaweza kuipitia.
Mikataba ambayo ina maswala nyeti isiwekwe hadharani ila hii ya kibiashara waweke tu wazi ambapo mtu unaweza access hata kwa kulipia fee flani.

Kwakua wanufaika ni wananchi wanayohaki ya kufahamu contents za mikataba.

Huku kuficha ficha ndio mwanzo wa ufisadi.
 
Bongo kila kitu kufichana,unaweza fungua hata kesi police na bado Mpelelezi wa Kesi yako akawa anakuficha Mambo mengi tu wakati hata mengine unayajua na ndiyo maana ukaenda kulalamika huko police!!
 
Swali la msingi kwani mafuta yenyewe yameanza kuchimbwa? Yanatosheleza mahitaji ya Uganda hadi kuuza nje?
 
No contents za mkataba ndio siri lakini sio idadi ya mikataba ndio maana waandishi tunaitwa kushuhudia
P

Misplaced!! Kama contents ni siri kwa 100% basi ndio sababu ya mkanganyiko. Ndio maana “idadi ya mikataba” itaonekana kama inakuwa ni ile ile sema watu tofauti!!

Si jambo la busara kuweka siri katika kila kitu - ficha majina ya kandarasi, lakini ni mradi gani, thamani yake, start and end dates - ni mambo ya msingi sana!!

Kama tukitaka kuwa na raia wenye uwezo wa kuhoji na kufuatilia - ni lazima wawe na chanzo cha kutengenezea maswali!! Siri huondoa uhalali wa kuhoji. Ndio mwanzo wa kwanini hata mbunge hawezi kuihoji serikali!!!
 
Watanzania Siyo Wajinga Kiasi Hicho
Mikataba Ya Bwana Mangungo
 
Back
Top Bottom