Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

Ni jambo la kawaida, hiyo mikataba haijajirudia. Na bado kuna mingine haijasainiwa.
 
Kuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.

Kwenye hii mikataba iko ya intergovermental, na host goverment. Intergoverment ni mikataba ya serikali za Uganda na Tanzania, ambayo imesainiwa pande zote. Host government ni mkataba wa sisi Tanzania ni host tuu wa bomba la mafuta. Mwenye mafuta ni Uganda, mchimbaji ni Total, ndie mwenye bomba. Tanzania tunapitisha tuu. Mfano ule mkataba wetu wa asilimia 16% ya free carried shares kati ya Tanzania na Barrick, imesainiwa mikataba 12!.

Hivyo hata baada ya kisainiwa mikataba iliyopo, bado kuna mingine itafuata.

Problem ni information.
Umeelezea vizuri mkuu
 
It's okay...

Lakini kwanini sasa, kunakuwa hakuna ufafanuzi maridhawa unaotolewa na serikali zetu hizi..?

Wanakuwa na nia/lengo gani kiasi cha kusababisha confusion isiyo na lazima kwa wananchi...?

Mimi nadhani ni yaleyale ya wanasiasa wetu; hadaa, uongo na unafiki kwa manufaa ya kisiasa ya muda mfupi...

Wote tunazijua siasa za Rais Museveni wa Uganda. Ni dikteta uchwara huyo kama alivyokuwa Mwendazake Magufuli...

Rais Samia ana kazi ya ziada kurekebisha haya japo hata yeye kuna dalili zote za kuonesha kuwa na yeye anapita mulemule...
 
Aug 5. 2017 Mseveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Mseveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!

Kazi iendelee.
===============
Ukweli ni kwamba.....
===============
Wacha watiliane tu tarajia na mara ya saba, ni mwendo wa kutiliana tu
 
Hawa wanatembeleana tu, SAINI GANI??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.

Kwenye hii mikataba iko ya intergovermental, na host goverment. Intergoverment ni mikataba ya serikali za Uganda na Tanzania, ambayo imesainiwa pande zote. Host government ni mkataba wa sisi Tanzania ni host tuu wa bomba la mafuta. Mwenye mafuta ni Uganda, mchimbaji ni Total, ndie mwenye bomba. Tanzania tunapitisha tuu. Mfano ule mkataba wetu wa asilimia 16% ya free carried shares kati ya Tanzania na Barrick, imesainiwa mikataba 12!.

Hivyo hata baada ya kisainiwa mikataba iliyopo, bado kuna mingine itafuata.

Problem ni information.

Bora wewe umefikiria kama uliekwenda shule

Wengine shule walifuata ujinga
 
Pamoja na hayo mbona mbwembwe kwenye hili bomba zimezidi huwa hatuzioni kwenye mikataba mingine ya aina hii, ukweli ni kwamba pesa hakuna wafadhili Total na Tullow bado hawajaewana.
Au mradi unasuasua kutokana na kwamba mafuta sasa hayana soko baada ya kuja teknolojia ya jua na gari za umeme.
Saudia tu yenyewe inahaha mpaka wameamua kubadili dini.
 
Wakimaliza Uganda na Tanzania, lazima wataenda Ufaransa kusaini upande wa TOTAL, siyo bure.
Kusaini miaka6, kazi itaanza lini wajameni?

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kuna mikata
Aug 5. 2017 Mseveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Mseveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!

Kazi iendelee.
===============
Ukweli ni kwamba.....
===============
Kuna mikataba ya ardhi kupitisha bomba
Kuna mikataba ya nchi na nchi
Kuna mikataba ya wawekezaji
 
Kuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.

Kwenye hii mikataba iko ya intergovermental, na host goverment. Intergoverment ni mikataba ya serikali za Uganda na Tanzania, ambayo imesainiwa pande zote. Host government ni mkataba wa sisi Tanzania ni host tuu wa bomba la mafuta. Mwenye mafuta ni Uganda, mchimbaji ni Total, ndie mwenye bomba. Tanzania tunapitisha tuu. Mfano ule mkataba wetu wa asilimia 16% ya free carried shares kati ya Tanzania na Barrick, imesainiwa mikataba 12!.

Hivyo hata baada ya kisainiwa mikataba iliyopo, bado kuna mingine itafuata.

Problem ni information.

Utetezi wako ni mzuri kimantiki maana umetumia lugha ya kistaarabu, lakini usemacho sio kweli. August 2017 pale Chongoleani Tanga, Magufuli na Museveni waliposaini na kuweka Jiwe la msingi la huo ujenzi, tena mbele ya hao wazungu wa Total, maelezo yalikuwa ni kwamba ujenzi ungekamilika mwishoni mwa 2020. Sasa haya maelezo yako mengine ni kutaka kuonyesha kuna misinformation kwa umma, jambo ambalo sio kweli. Ni aidha yale yaliyokuwa yanasainiwa mwanzo yaliongozwa na propaganda za kisiasa, na haya ya sasa ndio mkataba halisi. Ama kuna sintofahamu nyingi kwenye huu mkataba, ambao huenda huko mbeleni ukaleta matatizo makubwa.
 
Tanzania ina watu wenye majungu sana. Mtu badala ya kuuliza anakuja na conclusion.

Hiyo mikataba itasainiwa sana tu na bado mingine inakuja.
 
Hebu tupe uzoefu wako na kiwango cha mikataba kadhaa iliyosainiwa ili kufanikisha bomba la mafuta la Zambia. Mbona mnataka kutetea sanaa kwa jambo lisilohitaji usanii?
 
Kuna tatizo la utoaji wa habari za kinachosainiwa. Kwenye mradi huu wa ujenzi wa bomba la mafuta, kuna mikataba mingi inayosainiwa, wananchi hatuambiwi jumla ya mikataba na kinachosainiwa ni nini. Wanadhani alichosaini JPM ni kile kile alichosaini Samia, na Samia alipokwenda kusaini Kampala ndio kile kile kilichosainiwa hapa Dar.

Kwenye hii mikataba iko ya intergovermental, na host goverment. Intergoverment ni mikataba ya serikali za Uganda na Tanzania, ambayo imesainiwa pande zote. Host government ni mkataba wa sisi Tanzania ni host tuu wa bomba la mafuta. Mwenye mafuta ni Uganda, mchimbaji ni Total, ndie mwenye bomba. Tanzania tunapitisha tuu. Mfano ule mkataba wetu wa asilimia 16% ya free carried shares kati ya Tanzania na Barrick, imesainiwa mikataba 12!.

Hivyo hata baada ya kisainiwa mikataba iliyopo, bado kuna mingine itafuata.

Problem ni information.
Mkuu Mayalla,sasa mbona Kama wanatumia gharama kubwa na muda mwingi sana kwa ajili ya ku sign tu!? Kwa nini wasitenge siku tatu mfululizo zote ziwe za ku sign tu hiyo Mikataba!? Si angalau watapunguza zile gharama za up and downs! Tujaribuni sana kua na huruma na Kodi za Wananchi tusizifuje sana! Labda useme gharama zote zinabebwa na hao Matajiri wa Mafuta!! hapo sawa!!
 
Hela iliyotumika kuandaa hiyo ceremony ya Jana tuu, inaweza ikajenga shule zaidi ya mbili na hospital moja kabisa
 
Utetezi wako ni mzuri kimantiki maana umetumia lugha ya kistaarabu, lakini usemacho sio kweli. August 2017 pale Chongoleani Tanga, Magufuli na Museveni waliposaini na kuweka Jiwe la msingi la huo ujenzi, tena mbele ya hao wazungu wa Total, maelezo yalikuwa ni kwamba ujenzi ungekamilika mwishoni mwa 2020. Sasa haya maelezo yako mengine ni kutaka kuonyesha kuna misinformation kwa umma, jambo ambalo sio kweli. Ni aidha yale yaliyokuwa yanasainiwa mwanzo yaliongozwa na propaganda za kisiasa, na haya ya sasa ndio mkataba halisi. Ama kuna sintofahamu nyingi kwenye huu mkataba, ambao huenda huko mbeleni ukaleta matatizo makubwa.
Believe me hakuna cha Bomba la mafuta wala nini , Wanangu wa lasaba waliokimbilia Tanga kutega uvibarua kwenye hlo igizo la Bomba la mafuta nawasihi warudi makwao wasije wakakuta wake zao washazalishwa
 
Back
Top Bottom