Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni maigizo tupuAug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!
Kazi iendelee.
===============
Ukweli ni kwamba.....
===============
Kampuni za mafuta za Total na Tullow zashindwa kuafikiana biashara - BBC News Swahili
Tayari hatua za awali kuelekea ujenzi huo kama ramani, baadhi ya kandarasi na utanuzi wa bandari ya Tanga Tanzania zilishaanza.www.google.com
CCM hapo wanataka kula kwanzaPamoja na hayo mbona mbwembwe kwenye hili bomba zimezidi huwa hatuzioni kwenye mikataba mingine ya aina hii, ukweli ni kwamba pesa hakuna wafadhili Total na Tullow bado hawajaewana.
contents za mikataba mingi ni confidential for safeguarding business secrets. Ila kwa mikataba ya kitaifa, wawakilishi wetu rasmi wanayo haki zote kujua details zote but not to disclose them.Kushuhudia tu bila kujua kilichosainiwa ni kipi ,bora ibaki Siri yao tu.
season 6 episode 2😀😀Movie zinaendelea!
contents za mikataba mingi ni confidential for safeguarding business secrets. Ila kwa mikataba ya kitaifa, wawakilishi wetu rasmi wanayo haki zote kujua details zote but not to disclose them.
P
Mikataba ambayo ina maswala nyeti isiwekwe hadharani ila hii ya kibiashara waweke tu wazi ambapo mtu unaweza access hata kwa kulipia fee flani.BS, business secrets my foot.
Contract ya $2.9Billions ambayo NASA imeipa SpaceX iko mtandaoni, yeyote anayetaka anaweza kuisoma.
Mikataba mingi ya serikali kwenye nchi za kiafrica huwa inafichwa kwa sababu za upigaji. Nchi zilizoendelea mikataba ya serikali isiyohusisha masuala ya siri za usalama Taifa inakuwa kwenye umma "public domain" na yoyote anaweza kuipitia.
Bongo kila kitu kufichana,unaweza fungua hata kesi police na bado Mpelelezi wa Kesi yako akawa anakuficha Mambo mengi tu wakati hata mengine unayajua na ndiyo maana ukaenda kulalamika huko police!!Mikataba ambayo ina maswala nyeti isiwekwe hadharani ila hii ya kibiashara waweke tu wazi ambapo mtu unaweza access hata kwa kulipia fee flani.
Kwakua wanufaika ni wananchi wanayohaki ya kufahamu contents za mikataba.
Huku kuficha ficha ndio mwanzo wa ufisadi.
No contents za mkataba ndio siri lakini sio idadi ya mikataba ndio maana waandishi tunaitwa kushuhudia
P