Ni mara ya pili sasa nachapiwa

Habari wakuu

Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa...
Pole mwaya
 
Mkuu mwanamke unaweza mpa kila kitu ila bado akachepuka tu unapga show dhamana ila bado anatoka nje
 
Pole mkuu hawa viumbe wanatuzeeshaga kwa mawazo wanatutanguliza kuzimu kabla ya muda

Mkuu au ndo wewe wa ghorofa la Mwananyamala ukataka kupaa
 
Ndoa ni utapeli
Kataa ndoa
Kataa kisukari
Kataa presha
Kataa sonona
 
Poleeee sanaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakuwa una shinda Mahali wewe
 
Mzee wa kupambania
 
Duh! Pole Sana mkuu, mpaka muda huu wanawake bado hawaeleki tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angekuwa singlemom hapo🙆🙆🙆🙆...pole mkuu jaribu wenye mishe zao au waajiriwa.Sikuzote mwanamke au mwanaume akikaa tu bila kujishughulisha hana Cha kuwaza zaidi ya maovu
Huyu naye muone vile
 
Fact
 
Kama unahitaji mke bado nakushauri oa msandawe,mkurya,mnyaturu hawa watu ni wife material
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Sikuwa nimecheka siku nzima ya leo, thanks to you.
 
Mwanangu utakuwa na gubu sana ndio maana wamekukomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…