Amina kiuno
Member
- May 24, 2023
- 10
- 15
Pole mwayaHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwayaHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa...
Kuja useme neno tukio kama hili comment zenu zinatusaidia sana
Ndoa ni utapeliHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Mambo ni magumu sana
Utakuwa una shinda Mahali weweHabari wakuu

Mzee wa kupambaniaHabari wakuu

Huyu naye muone vile🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angekuwa singlemom hapo🙆🙆🙆🙆...pole mkuu jaribu wenye mishe zao au waajiriwa.Sikuzote mwanamke au mwanaume akikaa tu bila kujishughulisha hana Cha kuwaza zaidi ya maovu
Muda wa lunch wahuni "Wanatomb-a"Pole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni
FactKiufupi, kila mtu/jamii ina hulka yake, kama kuoa na kuacha kwako si issue basi nakushauri kaoe watu hawa, waSukuma wa Mwanza au Geita, na siyo Simiyu Tabora na Shinyanga, kaoe mNyakyusa wa Mbeya au mwisho wa yote kaoe Muha wa Kigoma
Angalizo:- Dunia imebadilika sana ktk jamii kubwa hapa Africa, binadamu wanaishi kulingana na wanachoona kwenye simu na TV kiasi kwamba mwanamke/mwanaume anaweza kua anapata kila kitu kwake lakini bado akachepuka Kwa upumbavu wa tamaa tu, hasa mijini kumekua hapafai na ndiyo sababu ya ongezeko la single mama kiasi kikubwa sana, kwanza wamekua na midomo mirefu kupita kiasi, kitu kidogo atamuijia mwanaume juu kana kwamba anajua sana Dunia na hata ukimuacha anaishia kua Malaya na omba omba wa hovyo sana, mwanamke wa kiTanzania sasa hivi baadhi yao wanaweza kuingia tu kwenye kiyoo akajitazama na Kisha akatoka nje akamtukana mume wake, mume akikaza akampiga chini, anaanza kuzurula akidhani umbo lake litampa kula, anajikuta alisahau kua pesa Kwa wanaume ni ngumu na aliyejitoa kuishi na mwanamke ni mtu aliye amua kuliski maisha na anajitahidi sana, wengine hawataki hiyo shida, wanatafuta mwanamke wa kupiga Kisha wanampa elfu kumi aende zake, ukiachana nae miezi sita tu majuto yake hua ni makubwa sana, ila mwanamke anaye cheat achana nae haraka maana mwanamke halisi mwenye kujua maisha hua hafanyi hivyo isipokua wale Malaya Malaya wadangaji
Siku njema
Kama unahitaji mke bado nakushauri oa msandawe,mkurya,mnyaturu hawa watu ni wife materialHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Mwanangu utakuwa na gubu sana ndio maana wamekukomoaHabari wakuu