Ni mara ya pili sasa nachapiwa

Ni mara ya pili sasa nachapiwa

Mkuu mwanamke unaweza mpa kila kitu ila bado akachepuka tu unapga show dhamana ila bado anatoka nje
 
Pole mkuu hawa viumbe wanatuzeeshaga kwa mawazo wanatutanguliza kuzimu kabla ya muda

Mkuu au ndo wewe wa ghorofa la Mwananyamala ukataka kupaa
 
Habari wakuu

Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa

Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.

Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia

Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Ndoa ni utapeli
Kataa ndoa
Kataa kisukari
Kataa presha
Kataa sonona
 
Poleeee sanaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu

Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa

Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.

Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia

Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Utakuwa una shinda Mahali wewe
 
Mzee wa kupambania
 
Duh! Pole Sana mkuu, mpaka muda huu wanawake bado hawaeleki tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angekuwa singlemom hapo🙆🙆🙆🙆...pole mkuu jaribu wenye mishe zao au waajiriwa.Sikuzote mwanamke au mwanaume akikaa tu bila kujishughulisha hana Cha kuwaza zaidi ya maovu
Huyu naye muone vile
 
Kiufupi, kila mtu/jamii ina hulka yake, kama kuoa na kuacha kwako si issue basi nakushauri kaoe watu hawa, waSukuma wa Mwanza au Geita, na siyo Simiyu Tabora na Shinyanga, kaoe mNyakyusa wa Mbeya au mwisho wa yote kaoe Muha wa Kigoma

Angalizo:- Dunia imebadilika sana ktk jamii kubwa hapa Africa, binadamu wanaishi kulingana na wanachoona kwenye simu na TV kiasi kwamba mwanamke/mwanaume anaweza kua anapata kila kitu kwake lakini bado akachepuka Kwa upumbavu wa tamaa tu, hasa mijini kumekua hapafai na ndiyo sababu ya ongezeko la single mama kiasi kikubwa sana, kwanza wamekua na midomo mirefu kupita kiasi, kitu kidogo atamuijia mwanaume juu kana kwamba anajua sana Dunia na hata ukimuacha anaishia kua Malaya na omba omba wa hovyo sana, mwanamke wa kiTanzania sasa hivi baadhi yao wanaweza kuingia tu kwenye kiyoo akajitazama na Kisha akatoka nje akamtukana mume wake, mume akikaza akampiga chini, anaanza kuzurula akidhani umbo lake litampa kula, anajikuta alisahau kua pesa Kwa wanaume ni ngumu na aliyejitoa kuishi na mwanamke ni mtu aliye amua kuliski maisha na anajitahidi sana, wengine hawataki hiyo shida, wanatafuta mwanamke wa kupiga Kisha wanampa elfu kumi aende zake, ukiachana nae miezi sita tu majuto yake hua ni makubwa sana, ila mwanamke anaye cheat achana nae haraka maana mwanamke halisi mwenye kujua maisha hua hafanyi hivyo isipokua wale Malaya Malaya wadangaji

Siku njema
Fact
 
Habari wakuu

Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa

Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.

Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia

Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Kama unahitaji mke bado nakushauri oa msandawe,mkurya,mnyaturu hawa watu ni wife material
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Sikuwa nimecheka siku nzima ya leo, thanks to you.
 
Habari wakuu

Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa

Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.

Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia

Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Mwanangu utakuwa na gubu sana ndio maana wamekukomoa
 
Back
Top Bottom