Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1665983183834.png

Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20.

Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali vitakavyotumika kama Tiketi za Kombe la Dunia, Visa na Tiketi za kuingilia kwenye maeneo ya starehe.

Viwanja vya Ndege ya Doha vinajiandaa kuhudumia wageni 150,000 kwa siku huku mipaka ya wanaoingia kwa magari ikitarajiwa kuhudumia watu 4000 kwa saa.

=========================

Qatar said Sunday that more than 1.5 million people have applied for the compulsory pass for the football World Cup, that begins November 20.

Saad Al-Suwaidi, head of the Hayya pass service, said that between 1.5 million and 1.7 million people have so far applied for the card, that acts as a visa, match ticket, transport ticket and gives access to some fan zones.

All travelers to Qatar will need the pass to enter from November 1, whether they intend to watch a game or not.

Qatar has said it expects more than 1 million foreign visitors, as well as hundreds of thousands of domestic fans.

International supporters must apply for the pass after buying tickets and securing accommodations.

Doha's two international airports are preparing to handle 150,000 entries a day, officials said.

Those crossing by land from Saudi Arabia must take a bus to Doha or pay a $1,375 fee to drive their own car.

Officials say border officials at the Abu Samra land crossing will be able to process 4,000 people an hour.

VOA
 

Attachments

  • 1665983129661.png
    1665983129661.png
    87.5 KB · Views: 9
Kwa hiyo naona mabaa yatakuwepo kwa sababu huwezi ukawawekea sheria za dini yako watu wasio na imani kama yako.
 
Kuna uwezekano kombe la dunia mwaka huu akajitokeza jihadist kujilipua uwanjan
 
Back
Top Bottom