Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Asante mkuu kwa kunitoa woga hapa nataka agiza sola ya 200W ila garama yake ni 52.3 USD for one piece je hapo bandarini wanaweza niua kwa kiasi gani maana mzigo unatoka chini
 
Nikipata kichwa cha treni mambo yangu yatakua safi sana
 
Mashine ya kukamua mafuta kutoka kwenye alizeti, karanga, Ufuta na ya kuondoa harufu.
 
Mkuu ulicho kisema ni kweli, kunajamaa alinunu machine ya kuprint picha QS 3011, kila inapohariika fundi anamtoa mbali anamsafirisha kumleta jamaa alipo, safari tu inamgarim pesa nyingi bado matengenezo na sehemu nzuri ya kulala fundi huyo bado atataka amupe pesa ya kununua malaya, yaani jamaa alijikuta uendeshaji wa machine hiyo unamshinda akaamua kufunga biashara
 
Mchina kaniuliza hivi👇

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
 
Kuna baadhi ya bidhaa za nyumbani tumekuwa tukifundisha watu kutengeneza bila kutumia mashine tangu mwaka 2017 ikiwemo aina zote za sabuni kuanzia za kipande , lotion zote,mafuta mgando n.k . Tuko Kibaha maili moja tucheki kwa 0713-039 875
 
Reactions: Cyb
Mchina kaniuliza hivi👇

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
Bandari unayopokelea Mzigo chief. Tafuta mawasiliano na kampuni ya silent ocean China. Ukitaka kununua na kusafirisha kwa bei nafuu toka China itabidi Mchina apeleke mzigo kwenye ofisi zao Guangzhou. Kisha wao watakusafirishia mpaka dar.
 
Pesa ya kununua malaya tena jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…