Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

We bwege Nini aliekuambia anataka kuchekesha watu Nani?..au Uzi wa vuchekesho huu?
Umesema ya kukaushia vitu vikavu. Sasa vitu vishakuwa vikavu unakaushaje tena.... Au unataka viungue viwe majivu?

Soma ulichoandika....
 
Mkuu ulicho kisema ni kweli, kunajamaa alinunu machine ya kuprint picha QS 3011, kila inapohariika fundi anamtoa mbali anamsafirisha kumleta jamaa alipo, safari tu inamgarim pesa nyingi bado matengenezo na sehemu nzuri ya kulala fundi huyo bado atataka amupe pesa ya kununua malaya, yaani jamaa alijikuta uendeshaji wa machine hiyo unamshinda akaamua kufunga biashara
Kwahiyo huyo fundi mpaka malaya anataka anunuliwe?[emoji23][emoji2][emoji2]
 
Mama Angeweka unafuu Kwa watu wanaoimport machine as wana kuja kufanya uzalishaji na kodi itavunwa kwa muda mrefu [emoji119]
Kabisa tukaondokana na importation ya bidhaa
 
Unaweza kuweka picha yake?
Hfdf2a70d785f4c37bbd1285646cf390a4.jpg

Inaitwa cordless au rechargeable drill machine
 
Umesahau unatakiwa uwe na pesa ngapi ya kuzungushia
Ni kweli...
Wanauliza, ila unajibu kinadharia ata kama huna uo mtaji lakini mi muhimu jibu liwe upande wao.....

Pia utataikiwa kudiposit milion 1 ambayo pia unaweza kuitoa baada ya kudiposit....
 
Umesahau unatakiwa uwe na pesa ngapi ya kuzungushia
Pia Muhimu ni kuzingatia na eneo, kuna umuhimu pia wakutumia akili vizuri kwenye baadhi ya maswali yao maana lengo lao pia ni kufanya biashara...... Kwa hiyo wanachuja waombaji na kuweka vipao mbele
 
Hii machine inaweza kubadilisha maisha yako haraka sana.
Wateja ni wengi sana, kila mtu anamiliki simu
Hii ni laser cut and engraving machine, inaprint design, logo, inakata kava za simu.
Kwa maekezo zaidi
Tuma whatsap message
00971527369138
 

Attachments

  • IMG_7448.MOV
    2.8 MB
Jamani mashine gani nikiwa nayo itaweza niingizia buku 20 kwa siku?
 
Back
Top Bottom