Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Hivi wakuu kuna machine ya kuvuna or kupiga piga mpunga baada ya kukatwa/kuvunwa? Inaweza kuwa sh ngapi? Natamani niipeleke kijijini kwetu, iwarahisishie kazi wakati pia nikipiga pesa
Ipo, sikumbuki niliona wapi ila ilikuwa mtandaoni, sikufatilia saana sababu sina mpango wa kulima mpunga ndani ya miaka hii ya karibuni.

Ngoja niisake nikiipata nitakuletea.
 
Screw air compressor and stone crusher.View attachment 2260006View attachment 2260005View attachment 2260007
IMG_20220504_160956_249.jpg
 
Mashine yeyote ni mtaji mkubwa ila inategemea na hitaji la watu waliokuzunguka wanahitaji nini zaidi,
Mfano unaweza ukawa na washing machine kubwa kisha ukaingia tenda na Mahoteli.
Sio mahoteli tu, dar ina uhaba wa laundries, watu wengi wana mapazia mashuka na nguo chafu wanaweka ndani wiki na ma wiki yanapita bila kufua, ukiwa na laundry business biashara ipo, ila tu uweke bei rafiki za kitanzania sio unaweka bei za oysterbay
 
Back
Top Bottom