Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Hivi solar 1000W complete inaweza ni cost bei gani
According to ufahamu wangu, Hawa Sundar / aborder walikua wanauza Sola @watt ( yaani watt moja) ni tsh 1,700/= hivyo mfano unataka watts 100 ✓ 170,000/= , watts 200 ✓ 340,000 Hadi 300,000/=


Ukija upande wa betri z drycell/za unfa (lead acid) zilikua zinauzwa @1N (N moja ) ni tsh 2,400/= mfano ukiwa unataka N10 utauziwa tsh 24,000/= ----- N 200 480,000=✓
 
Hiyo mbususu yenyewe nikipiga kimoko chali🤣🤣🤣🤣. Kuna sectir nipo vizuri kweli kweli ila siwezi kukwambia🤣🤣🤣

Hii ya biashara nipo hovyo yaani zero kabisa ndio maana natafuata mbia wakunifundisha
Eti kimoko 😂 sema fani yako unaweza kupata deals humu mkuu, mi najua una fani ya uchakataji mbususu tu😂
 
Back
Top Bottom