Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Ukisaga unaenda uza wapo wanunuzi wakubwa chinese people wao wanexport pia malighafi ya kutengeneza bidhaa za plastic hapa nchini.Safi sana mkuu, hiyo mashine ya plastic recycling inafanya vipi kazi? Na ukishafanya recycling unapeleka wapi hizo materials? Yani kwa kifupi biashara yake ipoje hii.
Hata Mimi nategemea kuwa buyer.