Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Safi sana mkuu, hiyo mashine ya plastic recycling inafanya vipi kazi? Na ukishafanya recycling unapeleka wapi hizo materials? Yani kwa kifupi biashara yake ipoje hii.
Ukisaga unaenda uza wapo wanunuzi wakubwa chinese people wao wanexport pia malighafi ya kutengeneza bidhaa za plastic hapa nchini.
Hata Mimi nategemea kuwa buyer.
 
Ata pikipiki nazo.
 
Machine ya kukamua mafuta ya alizeti ya kisasa kabisa pamoja na mashine ya kusafisha/kutoa harufu
Bei ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…