Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Acha mkuu, hongera sana yaelekea kipochi manyoya kimekutoa mkuu, ispokuwa inahitaji nyie wenye uzowefu mkubwa mlioanza kazi hizo toka kitambo mkuu, lissu anaweza kukupa mwongozo zaidi juu faragha zenu, na kangi aliwahi sema mpo salama na kazi zenu za jehanum.
Watu na experience zao, bana.
Hata mama yako mzazi nae ilikuwa hivyo mpaka akapata ndoa kwa baba yako kisa kipochi manyoya
 
Chuma hicho... Kwa siku unakunja hata milioni 5, Wewe tu
Pistol_used_by__Squeaky__Fromme.jpeg
 
Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,

Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Kunyonyoa manyoya ya KUKU....
Tafuta nzuri, nenda masoko yanayouza kuku wa broiler Kwa wingi, utapata zaidi ya hapo ..
 
Mkuu, naomba tufafanulie kwa kina pamoja na mtaji wake.
Mimi nimesimamia makarasha na mwalo kwa zaidi ya miaka5 Nikweli biashara ya makarasha inafaida nzuri sanaa tafakali muzunguko mmoja tuu unalipiwa 10, 000 kwa bei ya chini kabisa lakini maeneo mengi wanasaga kwa 20, 000 na huo mzunguko mmoja nisawa na kusema kusaga kinu kimoja mzunguko huo unachukua dakika 20 kwenye kinu yaani ukiweka mawe hayo unawasha karasha kwa dakika 20 au 15 ni kutokana na gololi za karasha lako zipongapi ndani ya mtungi wa kusagia

Gharama za mafuta na faida yake ukiweka mafuta lita-5 unasaga vinu 7 hadi 8 kila kinu unalipwa 10, 000 mafuta lita 5 unanunua 11, 000 kwahio ukinunu lita moja unasaga vinu 7 ambayo ni sawa na 70, 000 ukitoa 11, 000 unabakiwa na 59, 000 jiulize kwa siku nzima unatumia mafuta lita ngapi kwa uzoefu wangu biashara ikiwa ya kawaida unatumia lita 10 hivyo kwa siku moja unatengeneza 118000 kwa siku moja hiyo na kijana anaekusaidia kwenye mashine hulipwa 10, 000 kwa siku hivyo utabakiwa na 108000 tunaondoa 8, 000 kama matumizi ya boss kwa siku hivyo utabakiwa na 100 000 tukichukua hiyo laki moja kwa siku tukijumlisha kwa siku 30 Tunapata 3, 000, 000 Kwa mwezi mmoja unatengeneza milioni tatu na hiyo ni hesabu ya chini kabisa kwenye biashara ya karasha

Lakini ukiachana na faida hiyo ya milioni tatu kwa mwezi bado zipo faida nyingi zaidi ikiwemo mchanga wa dhahabu ambao mteja akisaga laazima ubakie kwako na mengine mengi tena la kubakiwa na mchanga wa mteja linafaida sanaa kuzidi hiyo milioni tatu Ushauli wangu ikiwa unao mtaji wekeza kwenye eneo hilo ni sehemu salaama kabisa
 
Bei yake ipoje hii mashine..?
 
Kunyonyoa manyoya ya KUKU....
Tafuta nzuri, nenda masoko yanayouza kuku wa broiler Kwa wingi, utapata zaidi ya hapo ..
hiyo kazi aisee inaingiza kama 300,000 kwa siku, nilishawahi kupambana na mwamba mmoja wa manispaa akanishinda nguvu, na unaweka tu vijana wa kufanya hiyo kazi, kila siku zinaingia mfukoni, ila kati ya hizo 300,000 za kwako zinaweza kuwa 200,000 tu kwa siku, iyo laki wanaitaka. rushwa mno. hadi nilitamani kuanzisha soko langu mwenyewe la kuku watu waje waweke pale kwa bei ndogo mimi niweke vijana wanyonyoe nifute kabisa soko la pale sokoni, naweka tu karibu pembeni na siko. ina vita balaa. watu wa halmashauri ni washirikina san ana wanapenda sana vita na madawa.
 
Back
Top Bottom