Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Tenti ni machine inaachotengeneza kivuli bila kutumia umeme.Kwani tenti ni mashine? Au hujamuelewa mleta mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenti ni machine inaachotengeneza kivuli bila kutumia umeme.Kwani tenti ni mashine? Au hujamuelewa mleta mada?
Mitambo ya ukubwa huo hulipiwa kwa masaa mkuu, mf*caterpillar hulipiwa laki 300kwa lisaa limoja tu. Zidisha masaa manane upate jibu.
huyu mwamba yupo katikati ya malapa na rozana pia kama unaenda kwa aziz ally ukitokea temeke mwisho, mwamba humwelezi kitu kuhusu salon.Jr & mtita unisex
Swali...AI based ROBOT... Hata mtu kuiona tu bila kumfanyia kazi yoyote... unamtoza hela ya kibabe... Kwa siku unapat ata mara 10 ya Tsh.50,000/=...
Hivi wafugaji wanafuga zero grassing au wanaonenepesha mifugo wakiinunua hiyo watahangaika kweli kupata majani ya mifugo Yao?Kuna ile mashine ya kukatia nyasi unaivaa kifuani inaweza kukuingizia pesa maana watu wavivu kufyeka mazingira.
Inabidi ujue jinsi ya kuwapata customer.
Unaweza kunielekeza mkuu?
Badala fedha ziende kwenye mizunguko ya maana zinaenda kule kwa hawa fulundenge! Nilitaka nifanye operation ya kuzichezea hizo Mkoa baada ya mwingine [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Umenichekesha sana ulivyoshtuka baada ya kusikia wabongo wamembinu buni namna ya kuyachakachua madude ya mchina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
...yaan nilikuw namaanisha jumla ya makusanyo ya pesa yote... Mfano kuna mwngne atatoa 10,000 mwingine 5,000 kila mmoja kutokana na field yake...Swali
Je wewe kwa muda huu unaweza kutoa 50,000/= kuangalia robot?
Labda uniambie unafanya exhibition ya tech products na kuwe na kiingilio, ila kwa watanzania hamna atakaetoa pesa hiyo kuangalia Robot, atalitizama youtube inatosha.
...yaan nilikuw namaanisha jumla ya makusanyo ya pesa yote... Mfano kuna mwngne atatoa 10,000 mwingine 5,000 kila mmoja kutokana na field yake...
...mkuu mim ni tajir... sema nipo tu humu nimetulia...
Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Eti misiba yako 15Hata mmoja fresh, ila navyoona ukianza na tatu ni vizuri zaidi. Mfano msiban hawawezi taka tent moja, ni kuanzia 2 na kuendelea.
Ukipata misiba yako 15 kwa mwezi
Kufa kufahanaEti misiba yako 15
Programmable lathe machine hatari mkuuComputer Numerical Control
hii mashine sio ya kitoto ukiweka mahali na ujue kuitumia. Kuanzia mambo ya mbao hadi chuma.
Unahitaji mashine ya kukata viazi?nicheki whatsapp nikuagizie +971527794329Mkuu umenikumbusha.....
Kuna limashine fulani la kumenya na kukata viazi vya chipsi.....
Kwanza inamenya...halafu nd'o yakata....unayo?Unahitaji mashine ya kukata viazi?nicheki whatsapp nikuagizie +971527794329
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app