Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

...AI based ROBOT... Hata mtu kuiona tu bila kumfanyia kazi yoyote... unamtoza hela ya kibabe... Kwa siku unapat ata mara 10 ya Tsh.50,000/=...
 
Swali
Je wewe kwa muda huu unaweza kutoa 50,000/= kuangalia robot?

Labda uniambie unafanya exhibition ya tech products na kuwe na kiingilio, ila kwa watanzania hamna atakaetoa pesa hiyo kuangalia Robot, atalitizama youtube inatosha.
 
Kuna ile mashine ya kukatia nyasi unaivaa kifuani inaweza kukuingizia pesa maana watu wavivu kufyeka mazingira.

Inabidi ujue jinsi ya kuwapata customer.
Hivi wafugaji wanafuga zero grassing au wanaonenepesha mifugo wakiinunua hiyo watahangaika kweli kupata majani ya mifugo Yao?
 
Umenichekesha sana ulivyoshtuka baada ya kusikia wabongo wamembinu buni namna ya kuyachakachua madude ya mchina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Badala fedha ziende kwenye mizunguko ya maana zinaenda kule kwa hawa fulundenge! Nilitaka nifanye operation ya kuzichezea hizo Mkoa baada ya mwingine [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Swali
Je wewe kwa muda huu unaweza kutoa 50,000/= kuangalia robot?

Labda uniambie unafanya exhibition ya tech products na kuwe na kiingilio, ila kwa watanzania hamna atakaetoa pesa hiyo kuangalia Robot, atalitizama youtube inatosha.
...yaan nilikuw namaanisha jumla ya makusanyo ya pesa yote... Mfano kuna mwngne atatoa 10,000 mwingine 5,000 kila mmoja kutokana na field yake...
 
Screenshot 2023-09-10 113105.jpg
 
Back
Top Bottom