Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Inalipa eh?Machine za photocopy, printer 🖨️ na kadhalika... Namaanisha fungua stationary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalipa eh?Machine za photocopy, printer 🖨️ na kadhalika... Namaanisha fungua stationary
Maeneo ya miji inayoendelea, kama Dodoma utapiga pesa mkuuSahihi.. mimi ninalo ila inategemeana na sehem. Kama uzalishaji wa mawe upo unapiga hela mno..ila kwa eneo lilipo sahiz uzalishaji umeshuka kwa siku unaweza kupata 30,000/=
Ndiyo mkuu
Kuna namna ya kuyachezea yale madude mkuu?Mnapenda pesa rahisi sana asee ila hakuna biashara wala kitu cha kuingiza kipato kisiwe na presha labda ufanye kama yale madubu ya mchina hawana mpinzani zaidi ya watu kuleta ujanja ujanja wanawaibia sana
IpoKuna namna ya kuyachezea yale madude mkuu?
Ball Mill crusher, sio Jaw crusher brooMaeneo ya miji inayoendelea, kama Dodoma utapiga pesa mkuu
SafiNdiyo mkuu
Machine ya kubadilisha expire date
Hii uwa shingapiTafuta machine ya kuonyesha magonjwa ya gari diagnostic mashine ni computer ndogo inapima magari yote
Zote zinafaa mkuu, zote zinaweza zikafanya kazi inayo fanana tofauti ni namna zinavyo tenda kazi tuBall Mill crusher, sio Jaw crusher broo
Umenichekesha sana ulivyoshtuka baada ya kusikia wabongo wamembinu buni namna ya kuyachakachua madude ya mchina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna namna ya kuyachezea yale madude mkuu?
excavator, bulldozer, Concrete Mixer Trucks..Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Kwani tenti ni mashine? Au hujamuelewa mleta mada?Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Hiyo ndo mashine inayolipa zaidi duniani [emoji38][emoji38][emoji38]Kipochi manyoya pekee ndo hukosi 50,000 Kwa siku. Jitahid usafi
Investment vs profit.. mtu mwenye akili timam hawez Fanya biashara kichaa kama barbershop! Unless awe na akili timamu lakin Hana exposuresUwekezaji wa barbershop umekuwa wa gharama sana siku hizi mkuu. Yaani kiti tu kile kizuri ni 2m, bado accessories nyingine. Kuna jamaa naona anajitahidi sana kazifungua za kutosha mjini hapa, ila ni amewekeza kweli, yaani zile barbershop kima cha chini nadhani ni 20m.