Bei gan???Unahitaji mashine ya kukata viazi?nicheki whatsapp nikuagizie +971527794329
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kuna options nyingi mno nicheki nikuonyeshe zote kisha uchague mojaBei gan???
Hata mama yako mzazi nae ilikuwa hivyo mpaka akapata ndoa kwa baba yako kisa kipochi manyoyaAcha mkuu, hongera sana yaelekea kipochi manyoya kimekutoa mkuu, ispokuwa inahitaji nyie wenye uzowefu mkubwa mlioanza kazi hizo toka kitambo mkuu, lissu anaweza kukupa mwongozo zaidi juu faragha zenu, na kangi aliwahi sema mpo salama na kazi zenu za jehanum.
Watu na experience zao, bana.
Mbona Jr Mtita amezijaza jiji zima, ni kweli hazilipi?Investment vs profit.. mtu mwenye akili timam hawez Fanya biashara kichaa kama barbershop! Unless awe na akili timamu lakin Hana exposures
DuhEbwana Mkuu kwema?Mi niko nayo hiyo Chombo sema sijui italeta vipi pesa.
Kunyonyoa manyoya ya KUKU....Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Vipi mbona unaguna?
SMG, LMG , HMG?? Hao watoto bado wachanga mno kwenye tasnia. Ni basi tu wanapewa airtime, ila katika uhalisia nchi ina vichwa hii basi tu. Ndo maana amani ipo.Mashine gun unatafuta majambazi wako 6 wengi huwa uvccm mnapiga hela
Duh!Mashine gun unatafuta majambazi wako 6 wengi huwa uvccm mnapiga hela
Ni kweli lakin lazima uwe na mwalo wa kuosheaKuna mdau amenidokeza ya kuwa, ukiwa na crusher la mawe kwenye migodi ya wachimba dhahabu ni fwedha, je hili likoje wadau?
Mkuu, naomba tufafanulie kwa kina pamoja na mtaji wake.Ni kweli lakin lazima uwe na mwalo wa kuoshea
Mimi nimesimamia makarasha na mwalo kwa zaidi ya miaka5 Nikweli biashara ya makarasha inafaida nzuri sanaa tafakali muzunguko mmoja tuu unalipiwa 10, 000 kwa bei ya chini kabisa lakini maeneo mengi wanasaga kwa 20, 000 na huo mzunguko mmoja nisawa na kusema kusaga kinu kimoja mzunguko huo unachukua dakika 20 kwenye kinu yaani ukiweka mawe hayo unawasha karasha kwa dakika 20 au 15 ni kutokana na gololi za karasha lako zipongapi ndani ya mtungi wa kusagiaMkuu, naomba tufafanulie kwa kina pamoja na mtaji wake.
Bei yake ipoje hii mashine..?Mimi nimesimamia makarasha na mwalo kwa zaidi ya miaka5 Nikweli biashara ya makarasha inafaida nzuri sanaa tafakali muzunguko mmoja tuu unalipiwa 10, 000 kwa bei ya chini kabisa lakini maeneo mengi wanasaga kwa 20, 000 na huo mzunguko mmoja nisawa na kusema kusaga kinu kimoja mzunguko huo unachukua dakika 20 kwenye kinu yaani ukiweka mawe hayo unawasha karasha kwa dakika 20 au 15 ni kutokana na gololi za karasha lako zipongapi ndani ya mtungi wa kusagia
Gharama za mafuta na faida yake ukiweka mafuta lita-5 unasaga vinu 7 hadi 8 kila kinu unalipwa 10, 000 mafuta lita 5 unanunua 11, 000 kwahio ukinunu lita moja unasaga vinu 7 ambayo ni sawa na 70, 000 ukitoa 11, 000 unabakiwa na 59, 000 jiulize kwa siku nzima unatumia mafuta lita ngapi kwa uzoefu wangu biashara ikiwa ya kawaida unatumia lita 10 hivyo kwa siku moja unatengeneza 118000 kwa siku moja hiyo na kijana anaekusaidia kwenye mashine hulipwa 10, 000 kwa siku hivyo utabakiwa na 108000 tunaondoa 8, 000 kama matumizi ya boss kwa siku hivyo utabakiwa na 100 000 tukichukua hiyo laki moja kwa siku tukijumlisha kwa siku 30 Tunapata 3, 000, 000 Kwa mwezi mmoja unatengeneza milioni tatu na hiyo ni hesabu ya chini kabisa kwenye biashara ya karasha
Lakini ukiachana na faida hiyo ya milioni tatu kwa mwezi bado zipo faida nyingi zaidi ikiwemo mchanga wa dhahabu ambao mteja akisaga laazima ubakie kwako na mengine mengi tena la kubakiwa na mchanga wa mteja linafaida sanaa kuzidi hiyo milioni tatu Ushauli wangu ikiwa unao mtaji wekeza kwenye eneo hilo ni sehemu salaama kabisa
ingekuwepo aisee watu wasinge ishi maisha magumu hivi.Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
hiyo kazi aisee inaingiza kama 300,000 kwa siku, nilishawahi kupambana na mwamba mmoja wa manispaa akanishinda nguvu, na unaweka tu vijana wa kufanya hiyo kazi, kila siku zinaingia mfukoni, ila kati ya hizo 300,000 za kwako zinaweza kuwa 200,000 tu kwa siku, iyo laki wanaitaka. rushwa mno. hadi nilitamani kuanzisha soko langu mwenyewe la kuku watu waje waweke pale kwa bei ndogo mimi niweke vijana wanyonyoe nifute kabisa soko la pale sokoni, naweka tu karibu pembeni na siko. ina vita balaa. watu wa halmashauri ni washirikina san ana wanapenda sana vita na madawa.Kunyonyoa manyoya ya KUKU....
Tafuta nzuri, nenda masoko yanayouza kuku wa broiler Kwa wingi, utapata zaidi ya hapo ..