Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Wapi huko nije tushirikiane kupambana na mwamba wa halmashauri kama ni ushirikina hapa ndo umelala tukitaka tunamroga anakufa.
 
Nimeona fursa kwenye hii kwa mkoa ambao nipo na kijana wangu alikua akinielezea nikaona wazo lake sio mbaya, na inafaa sana kwenye kazi za metal fabrications, vupuri na mechanical modifications kwa ujumla.
Mkoa gan brother upo fit kwa shughul za dizaini hyo?
 
Hello. Mashine hii ya kunyonyolea kuku ni sh ngapi please?
 
"Naambiwa" kuna mwarabu flani shinyanga hua analeta used, kisha anauza ila bei yake ni kuanzia 20M
Duh ukiwa na lathe tu na mashine ya kuchomelea na grinder(grender) kuna ulaji wa kurudisha io kibunda kwel mkuu
 
Duh ukiwa na lathe tu na mashine ya kuchomelea na grinder(grender) kuna ulaji wa kurudisha io kibunda kwel mkuu
Hii kurudisha kwake hela labda inabidi hiyo karakana yako iwe ipo karibu na eneo la viwanda au magereji unaweza ukapiga hela ila sio mitaani hata kuijua tu hawaijui.
 
Sidhani kama wateja kwa wastani huwa wanafuata muonekano mzuri wa saloon bali huduma nzuri. Mara nyingi naona watu wakienda barber shops za kisasa wanatoka na malalamiko ya kupigwa pesa ndefu kwa kupewa huduma ambazo hata hawakuwa na uhitaji nazo.

Cha msingi unaweza fungua saloon simple tu location nzuri. Ila uwe msafi kwenye ofisi yako na ujue mitindo na mbinu za kuwatengeneza wateja nywele, ndevu na vichwa vyao vikatoka smart. Na upambane sana uwe na nafasi nzuri hapo saloon ili wateja wakija wasipoteze muda kukaa wakisubiria mtu atoke ndipo wanyolewe.
 
Tafuta water pump au mashine ya kushindilia au pia compressor.

NB: Ukiwa nazo zote ni uhakika hukosi hata 500k per month katika nyakati mbaya. Kipindi kizuri unaeza kunja mpaka 2ml per month.
Hizi zinatumika wapi?
 
Mashine ya kuchomelea vyuma,machine ya kuchomelea ya gesi,machine ya upepo magali,
 
Uhakika wa kuingiza wastani wa 150,000-250,000 kwa eneo lililo changamka ni mkubwa ukiwa na:-
Lathe
Welding
Angle 9"Grinder
Drill & bits
Bench grinder
Tool box
Tap & Die set
Kipengele lathe machine huwa zinaendaje hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…