hiyo kazi aisee inaingiza kama 300,000 kwa siku, nilishawahi kupambana na mwamba mmoja wa manispaa akanishinda nguvu, na unaweka tu vijana wa kufanya hiyo kazi, kila siku zinaingia mfukoni, ila kati ya hizo 300,000 za kwako zinaweza kuwa 200,000 tu kwa siku, iyo laki wanaitaka. rushwa mno. hadi nilitamani kuanzisha soko langu mwenyewe la kuku watu waje waweke pale kwa bei ndogo mimi niweke vijana wanyonyoe nifute kabisa soko la pale sokoni, naweka tu karibu pembeni na siko. ina vita balaa. watu wa halmashauri ni washirikina san ana wanapenda sana vita na madawa.