Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Mashine ya kunyolea nywele, lokesheni nzuri ukinyoa vichwa 10 unakunja huo mshiko kwa siku...
Uwekezaji wa barbershop umekuwa wa gharama sana siku hizi mkuu. Yaani kiti tu kile kizuri ni 2m, bado accessories nyingine. Kuna jamaa naona anajitahidi sana kazifungua za kutosha mjini hapa, ila ni amewekeza kweli, yaani zile barbershop kima cha chini nadhani ni 20m.
 
Na njee unalikuta bango la 3D la M10 limetulia
 
Ungeweka wazi mtaji wako tukushauri vyema ili tusijekukutajia mashine za bei ndogo sana au kubwa sana. Kuna mashine za kuchimba visima, kufyetua tofali, kupakia vifusi-mchanga-mawe, kusaga mawe kuwa kokoto, kuchana-kusafisha na kudrill mbao n.k
 
Back
Top Bottom