Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
You can say that again.Hapa unaweka tent na viti huwezi kosa kweli.
Sherehe,misiba,jumuia ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can say that again.Hapa unaweka tent na viti huwezi kosa kweli.
Sherehe,misiba,jumuia ..
Hongera mkuu!💪on progress, kwa sasa najifunza stencils yaani wall stencil,furniture stencil na craft stencil naona ina soko sana watu wanapenda urembo wa nyumba hawajengi kizamani
Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Inategemea mkuu, kama unataka kununua mazima ni wewe. Sahiz yana 8milion mpak 9M complete .. ila kama utataka kulitengeneza mwenyew haizid 6MMkuu lilikugharinu kiasi gani kulitenheneza mkuu pls!
Uwekezaji wa barbershop umekuwa wa gharama sana siku hizi mkuu. Yaani kiti tu kile kizuri ni 2m, bado accessories nyingine. Kuna jamaa naona anajitahidi sana kazifungua za kutosha mjini hapa, ila ni amewekeza kweli, yaani zile barbershop kima cha chini nadhani ni 20m.Mashine ya kunyolea nywele, lokesheni nzuri ukinyoa vichwa 10 unakunja huo mshiko kwa siku...
Hii ipoje mkuuCNC router
Jr & mtita unisexUwekezaji wa barbershop umekuwa wa gharama sana siku hizi mkuu. Yaani kiti tu kile kizuri ni 2m, bado accessories nyingine. Kuna jamaa naona anajitahidi sana kazifungua za kutosha mjini hapa, ila ni amewekeza kweli, yaani zile barbershop kima cha chini nadhani ni 20m.
Na njee unalikuta bango la 3D la M10 limetuliaUwekezaji wa barbershop umekuwa wa gharama sana siku hizi mkuu. Yaani kiti tu kile kizuri ni 2m, bado accessories nyingine. Kuna jamaa naona anajitahidi sana kazifungua za kutosha mjini hapa, ila ni amewekeza kweli, yaani zile barbershop kima cha chini nadhani ni 20m.
Yeah, hawa jamaa wameamua kuwekeza kweli kweli kwenye barbershop. Kuna anaitwa GN barbershop & Spa, yupo njema sana. Nimeziona kama nne hi I na zote ni classic. 30m ni kawaida sana.Jr & mtita unisex
Mkuu,1. Metal Milling Machine.
2. Metal Lathe Machine.
3. Portable Re- Boring Machine.
4. Metal heavy pedestal Drilling Machine.
Kwa Tabora Agricultural machineries Gani zinaweza kukutoa?Mashine vs mkoa ulipo
1. Construction Machineries
-Dar
-Mwanza
- Dodoma
-Arusha
2.Agricultural Machineries
-Morogoro
-Mbeya
etc
- Rukwa
- Ruvuma
- Tabora
3. Vehicles and event rentals
-Dar
- Dodoma
-Mwanza
etc
Niliuliza za mtumba:-Mkuu,
Hizi bei zake zikoje?
Uwekezaji mzuri huu kwa watu wa metal fabrication.Niliuliza za mtumba:-
Miling 3,500$
Lathe 12,000$
Drilling 1,600$
ReBoring 5,200$