Wapi nanunua hivi vyote?Uhakika wa kuingiza wastani wa 150,000-250,000 kwa eneo lililo changamka ni mkubwa ukiwa na:-
Lathe
Welding
Angle 9"Grinder
Drill & bits
Bench grinder
Tool box
Tap & Die set
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nanunua hivi vyote?Uhakika wa kuingiza wastani wa 150,000-250,000 kwa eneo lililo changamka ni mkubwa ukiwa na:-
Lathe
Welding
Angle 9"Grinder
Drill & bits
Bench grinder
Tool box
Tap & Die set
Mitaa ya K/koo gerezani unapata hivyo vyote, lakini Lathe tafuta mtuma kutoka nchi za ulaya wanauza bei chee sana ambazo wao wanaona ziko too manual, wakatu bongo bado ni vinandaWapi nanunua hivi vyote?
Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Yap. Tent na viti. Biashara nzuri sana. Na wakikodi wanaweka na deposit ya uharibifu ambayo inarudishwa wakileta salama.Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Ya matofali ni nzuri kwa sasa ukiweza peleka mashine ya tofali za hydraform maeneo wanako jenga na tofali za kuchoma utapiga hela hadi basiYa matofali vp wadau
Ninayo haija tumika unanipa kiasi gani?Me nataka ya kukamua juice ya miwa sitaki mpya
Concreat Mixer ya zege kucheza na maloko fundwanopewa kandarasi za mashule na majengo ya serikali wengi Hawana...Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Aisee, huna huruma?Kama una mtaji njoo inbox nikufundishe forex
Hii si ni laiser and engraving machine au sio?Mashine ya kuchonga mapambo kwenye milango ya mbao, wood carving machine.
Mashine ya kusagaNje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Naomba unieleweshe hapa MkuuYa matofali ni nzuri kwa sasa ukiweza peleka mashine ya tofali za hydraform maeneo wanako jenga na tofali za kuchoma utapiga hela hadi basi
Ni hivi mkuu ona tofali hizo za udongo ambazo hazichomwi ukiwa na mashine ya kuftatua yofali hizo mfano Vijiji vya Mkoa wa Morogoro ambapo hutumia tofali za kuchoma,utapiga hela kwasababu sasa hivi hakuna rukhsa kukata miti hivyo kutakuwa na shaba w tofali za kuchoma na kwa kuwa tofali zako ni bora na mara na zina muonekano mzuri utauza mkuuNaomba unieleweshe hapa Mkuu
Ok ushauri mzuriNi hivi mkuu ona tofali hizo za udongo ambazo hazichomwi ukiwa na mashine ya kuftatua yofali hizo mfano Vijiji vya Mkoa wa Morogoro ambapo hutumia tofali za kuchoma,utapiga hela kwasababu sasa hivi hakuna rukhsa kukata miti hivyo kutakuwa na shaba w tofali za kuchoma na kwa kuwa tofali zako ni bora na mara na zina muonekano mzuri utauza mkuu