Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Uhakika wa kuingiza wastani wa 150,000-250,000 kwa eneo lililo changamka ni mkubwa ukiwa na:-
Lathe
Welding
Angle 9"Grinder
Drill & bits
Bench grinder
Tool box
Tap & Die set
Wapi nanunua hivi vyote?
 
Wapi nanunua hivi vyote?
Mitaa ya K/koo gerezani unapata hivyo vyote, lakini Lathe tafuta mtuma kutoka nchi za ulaya wanauza bei chee sana ambazo wao wanaona ziko too manual, wakatu bongo bado ni vinanda
 
50k ikiwa haina pressure basi pressure utakua nayo wewe.

Alternatively, weka 150 M UTT utapata hiyo amount bila pressure
 
Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,

Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Concreat Mixer ya zege kucheza na maloko fundwanopewa kandarasi za mashule na majengo ya serikali wengi Hawana...
 
Mashine ya kuchonga mapambo kwenye milango ya mbao, wood carving machine.
 
Naomba unieleweshe hapa Mkuu
Ni hivi mkuu ona tofali hizo za udongo ambazo hazichomwi ukiwa na mashine ya kuftatua yofali hizo mfano Vijiji vya Mkoa wa Morogoro ambapo hutumia tofali za kuchoma,utapiga hela kwasababu sasa hivi hakuna rukhsa kukata miti hivyo kutakuwa na shaba w tofali za kuchoma na kwa kuwa tofali zako ni bora na mara na zina muonekano mzuri utauza mkuu
 
Attachments

  • 1000482615.jpg
    1000482615.jpg
    12.6 KB · Views: 2
Ni hivi mkuu ona tofali hizo za udongo ambazo hazichomwi ukiwa na mashine ya kuftatua yofali hizo mfano Vijiji vya Mkoa wa Morogoro ambapo hutumia tofali za kuchoma,utapiga hela kwasababu sasa hivi hakuna rukhsa kukata miti hivyo kutakuwa na shaba w tofali za kuchoma na kwa kuwa tofali zako ni bora na mara na zina muonekano mzuri utauza mkuu
Ok ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom