Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

hii thread ni ya aina yake,kwa hiyo mnaulizana maswali yasiyo na majibu?..sikilizeni nyie hakuna maswali yasiyo na majibu isipokuwa paradoxes tu!
 
Kabla Mungu hajawepo kulikuwaje? Na jinsi kulivyokuwa nani alipaumba?
 
Dunia kujizungusha katika mhimili wake bila sis wenyewe kuhisi
 
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?

Swali gumu kuliko yoooooye duniani ni hii number 2. wapi mungu alitoka. yani me nikifikiri na kutafakari na kufanya tafiti zangu, nahisi kuchanganyikiwa yani nakuwa kama nataka kuwa chizi hivi. Mingu ni nani? alitoka wap? kabla ya yeye nini kilikuwepo? yani dah? hapana kwakweli
 
Je kuna viumbe gani katika sayari zingine?
 
Kama Dunia inazunguka kwanini Tanzania Haifiki Marekani??
 
Wanababe wa namba nataka kujua,katika hesabu za fedha baada ya trion kuna msamiati mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…