Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Nani kakuongopea wazungu ni wengi kutuzidi weusi?au wachina na wahindi pia kwako ww ni wazungu pia??
 
Dah umbo dogo duniani kuliko yote ni nukta je umbo kubwa kuliko yote ni lipi? Apo nataftaga jibu lakin nahsi hakipo
 
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Kumbe kushindwa nako ni uwezo? maana hapo unazungumzia uwezo wa kushindwa kubeba hilo jiwe.
 
Back
Top Bottom