Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo gani umetumia kusema hivouniverse is infinity!!
unavosema neno 'nje una maanisha niniVipi ukiwa ndani unatoka nje ukakuta nje hakupo?
Nani kakuongopea wazungu ni wengi kutuzidi weusi?au wachina na wahindi pia kwako ww ni wazungu pia??1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
white color mzee ndio wengi duniani kuzidi black colorNani kakuongopea wazungu ni wengi kutuzidi weusi?au wachina na wahindi pia kwako ww ni wazungu pia??
hayo yanajibika...km una imani na unaamini!Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Kumbe kushindwa nako ni uwezo? maana hapo unazungumzia uwezo wa kushindwa kubeba hilo jiwe.Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Ningekuwa kiunoni kwa dingi wakati yeye enzi hizo yupo kiunoni kwa babu.na kabla haujaishi kiunoni kwa dingi ako,je ulikuwa wapi kabla dingi ako hajazaliwa?
Kama gari inatembea,kwanini wanaokaa siti ya nyuma hawafiki kwa dereva?Kama Dunia inazunguka kwanini Tanzania Haifiki Marekani??
Who are you ? and why are you here on earth ?Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Duuh huu mfano sahihi kabisaaa maana watu wanajitoaa ufahamu sasa kama marekani na Tz zipo ktk tufe moja iweje moja izunguke mpaka imkute mwingine.Kama gari inatembea,kwanini wanaokaa siti ya nyuma hawafiki kwa dereva?
Kuna watu wanajitoa ufahamu.Duuh huu mfano sahihi kabisaaa maana watu wanajitoaa ufahamu sasa kama marekani na Tz zipo ktk tufe moja iweje moja izunguke mpaka imkute mwingine.