einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
hii thread ni ya aina yake,kwa hiyo mnaulizana maswali yasiyo na majibu?..sikilizeni nyie hakuna maswali yasiyo na majibu isipokuwa paradoxes tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu ni wengi binadamu ni wachache
Sio bure,wewe utakuwa ni Dr Mihanjo wa Philosophy Unit
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Mzee wa kodrai kauka nkuvae
Ha ha haa,mzee ana mtindo wa maisha wa kipekee sana yule!