Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Nani kakuongopea wazungu ni wengi kutuzidi weusi?au wachina na wahindi pia kwako ww ni wazungu pia??
 
Dah umbo dogo duniani kuliko yote ni nukta je umbo kubwa kuliko yote ni lipi? Apo nataftaga jibu lakin nahsi hakipo
 
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Kumbe kushindwa nako ni uwezo? maana hapo unazungumzia uwezo wa kushindwa kubeba hilo jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…