unajua Mungu huwa namuogopa, namuabudu, namuheshimu yani generally nampa sifa zote. Alipotuumba wanadam alitupa akili lakini yenye limitation (ukomo) tena yeye mwenyew anasema "nimekupeni akili ya kuweza kuvitawala vitu ambavo viko katika mazingira yenu". Sasa wewe ako ka akili ulichopewa cha kukutosha wewe kama wewe eti unataka ukatumie kumchunguzia aliyekupa. Mim nikiona mtu ana mdiscuss Mungu namchukulia boya yani nakuona wew ni nanga wa mwisho kwa sababu unaitumia akili yako vibaya.
Lets pray to God.