Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

Hakuna mtu mweupe wala Mweusi ! Kama yupo weka picha !

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

Sun
Mercury
Jupiter
Uranus
Venus
Pluto
Neptune
Mars

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?

Alizaa na Mwanamke !
 

i like number 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…