Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Kwahiyo mungu ana baba yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usingezaliwa ungekuwa wapi?.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Mungu hakuumba jinsia !
Hakuna andiko linalosema hivyo !
Duniani hakuna dhambi !
Utauliza hili swali kama tu hujui Mungu ni kitu gani!!
Darkness maens no light,the speed of darkness is equal to the speed of light dissapearance
Umeniwahi. Swali lile ni la kipuuzi, linajikanganyaMajanga ya kufikiri pasipo kutafakari, hashindwi chochote ; anaweza kutengeneza...ambalo HAWEZI...atakuwaje hawezi wakati hashindwi na chochote ? Tafakari chukua Hatua
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
mungu alitoka wapi?
1. Fedha ina thamani gani?
2. Binadamu na wanyama wengine walianzaje kujamiiana?
3. Katika biblia imeandikwa adam na hawa walitenda dhambi kwa kula tunda. je ni tunda gani hilo la mti gani?