Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huo mfano wako wa kufuata kanuni ili kutaka kujua kuendesha gari nafikiri ni tofauti kidogo.
Gari linaonekana, linajulikana limetoka wapi n.k,
Hebu fikiria mtu anakuja anakwambia nataka nikufundishe kuendesha gari, lakini hilo gari hulioni , hujui lometoka wapi n.k lazima utahoji kwanza uwepo wa hilo gari kabla ya kutaka kujifunza zaidi kuhusu hilo gari.
Ndio maana hata darasani tukiwa tunasoma mada mpya, baada ya utangulizi huwa tunapewa historia japo fupi kuhusu mada husika kabla ya kuingia ndani zaidi katika hiyo mada.
Kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi?
Inawezekana nikiandika maelezo mengi nakuchanganya
Ni hivi,mtu anapokuja na kukueleza kuwa anataka kukufundisha kuendesha gari swali lako la kwanza ni kuuliza gari ni kitu gani baada ya kujua gari ni kitu gani ndipo utaanza kuuliza lilipotoka
Kujua gari ni kitu gani ndio kutakusaidia kujua kama lina mwanzo au la kwasababu utakuwa "unalijua"
Mfano rahisi ni binadamu,tunahoji mwanzo wa binadamu kwakuwa tunamjua binadamu kiasi cha kujua kuwa kwa namna alivyo ni lazima atakuwa na mwanzo tu kwasababu ana mwisho
Hivyo ili kujua Mungu kama ana mwanzo unahitajika umjue kwanza yeye ni nani halafu ndipo uje kwenye swali lako kama ana mwanzo
Umenielewa sasa?
Hapo nimekuelewa.
Kwa hiyo ukishamjua Mungu ni nani, pia utajua alitoka wapi?
Kwanini unadhani kuna mahali "ametoka"?
Hebu kajifunze kwanza na ukishajua ni nani ndipo uje hapa uulize!
Ulijifunza na ukajua Mungu ni kitu gani?Labda nimekosea kutumia neno alitoka, tuseme chanzo chake badala ya "alitoka"
Kuhusu kujifunza nimeshajifunza sana lakini katika hayo mafundisho, sikupata jibu la hilo swali hapo juu kuhusu (chanzo/mwanzo wa mungu)
"Kukubali" ni nini?
Unajua maana yake?
Kuhangaika ni nini?
Unajua maana yake?
Complicationa ndio nini?
Kwanini isiwepo?
Unajua Mungu ni nini?
Nani kasema ?
Wewe unachapwa nao nini?
Mhhhh!!! kwa hyo wanaposema TUTAISHI MILELE maana yake tutaishi mwanzo na mwisho? mbona mwanichanganyaMwanzo wa mwisho!
Duuuhh!!Milele !
3: Mimba yako ilitungwa mda gani?
4.Ni siku gani ndege ya Malasyia itapatikana
5. Ni lini UKAWA watarudi tena mjengoni