Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Lakini mkuu hata kama unajua Mungu ni kitu gani hili swali bado gumu sana.
Unapokuwa na wasiwasi Mungu "ameanzia wapi" bado hujui kabisa yeye ni nani
Ukijua huwezi kuuliza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mkuu hata kama unajua Mungu ni kitu gani hili swali bado gumu sana.
Kama biblia iliyoandikwa ni neno la Mungu....basi kuna Muhariri wa kitabu ambae ana akili kuliko mtunzi....???
Mimi kama mtaalamu wa mahesabu ya vizazi mkinipa umri wa mungu..nawapa umri wa dunia bila chenga.. nitapiga mahesabu kuanzia kwakwe yeye mungu hadi babu yake mzaa babu n.k
Fedha haina thamani ila ni karatasi iliyopewa jina fedha na imepewa "thamani" na binadamu,leo hii binadamu akiamua kutokuitumia na kuweka kitu kingine,hata ukikutana na chumba kimejaa minoti wala hautaona kama ni kitu1. Fedha ina thamani gani?
Sisi tunaojua mwanzo wa binadamu kwa mujibu wa Mungu tunajua alianzaje,kazi kwa wale ambao hawajui hadi leo2. Binadamu na wanyama wengine walianzaje kujamiiana?
Inaonekana umehadithiwa3. Katika biblia imeandikwa adam na hawa walitenda dhambi kwa kula tunda. je ni tunda gani hilo la mti gani?
Unapokuwa na wasiwasi Mungu "ameanzia wapi" bado hujui kabisa yeye ni nani
Ukijua huwezi kuuliza!
Mwanaume na mwanamke wametoka wapi
Utakuwa vipi na uhakika kwamba mungu ameanzia wapi wakati hujui ameanzia wapi?
Wewe una uhakika "Mungu ameanzia wapi"?
Unataka ujibiwe na nani?1. Kabla ya mbingu na dunia kuwepo nini kilikuwepo?!!
Nani alikuambia hii?2. Kama kila jambo lina mwanzo na mwisho wake, Mungu alitokea wapi na alikotokea walitokea wapi na huko alikotokea kulitokea wapi nk nk nk?!!!
Mwanzo ni nini?3. Nini kipi kilikuwepo mwanzo kabla ya mwanzo kabla ya mwanzo?!!! na mwisho WA mwisho ni upi?!!!
Unajua maana ya ndoto?4. Nini tofauti ya maisha ya ndotoni na maisha tunayoishi live
Yaani unataja kifo halafu unatamka "maisha" ya kaburinina maisha ya kaburini ndan bada ya kifo?!
Unauliza kuhusu Mungu yupi?5. Kama kweli Mungu yupo na hataki tufanye dhambi kwanin aliujua maisha yote nitakayoishi ata kabla ya kuumbwa kwangu kiasi cha mim saiv kufanya recorded lyf kwake?!! na iweje iwe dhambi KA alijua ntafnya hvo?!!!!!
mengine yashaulizwa!!!!!!!!!
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
"Kukubali" ni nini?Kwa nini Mungu anakubali watu wateseke na kuhangaika duniani?
Complicationa ndio nini?While he can simply make a new heaven without any complication...
Unajua Mungu ni nini?And ye ametokea wapi?
Kama haijapotea imefanya/imefanywa nini?Ndege haijapotea !
Mimi kama mtaalamu wa mahesabu ya vizazi mkinipa umri wa mungu..nawapa umri wa dunia bila chenga.. nitapiga mahesabu kuanzia kwakwe yeye mungu hadi babu yake mzaa babu n.k
usingezaliwa ungekuwa wapi?.?
1. Fedha ina thamani gani?
2. Binadamu na wanyama wengine walianzaje kujamiiana?
3. Katika biblia imeandikwa adam na hawa walitenda dhambi kwa kula tunda. je ni tunda gani hilo la mti gani?
Huelewi kabisaa
Unajua ngoja nikupe siri moja
Mambo yanayoimhusu Mungu ni makubwa sana na mengi pia
Kama unahitaji kumjua inabidi uwe na uvumulivu wa kutosha na ufuate kanuni zake
Kama vile unavyotaka kujifunza kuendesha gari ni hadi ufuate kanuni
Huwezi kutaka kujua kuendesha gari halafu hutaki kufuata kanuni
Hutaweza
Mungu kwa upande mwingine ni hivyo
Unapokimbilia kutaka kujua alianzia wapi wakati hata hujajua yeye ni nini ni sawa na mtoto aliyezaliwa leo atake kukimbia wakati hata kusimama hajaanza
Unapojua gari ni kitu gani,kule kujua ni kitu gani ndio kutakufanya ujue kama lilitengenezwa au laa
Bila kujua hilo huwezi kabisa kujua kama gari lilitengenezwa au sio
Jifunze kwanza Mungu ni nini halafu ndio uone kama utajiuliza alipotokea au laa!