Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Kwa nini MTU akiongea kiingereza anaonekana mjuvi wa mambo na mwenye ilmu kubwa...

Je ni sawa kupima IQ ya mtu kwa ujuvi wa lugha?
Ukitaka kupigwa, au kutengwa ongea kingredha uswahili
 
Hivi malaika au shetani wanaweza wakajiua?
 
Kwa nini hawakuniomba ruhusa ya mimi kuzaliwa?Yaani unazaliwa bila ruhusa yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…