Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?

Kulitokea Watu Weus Baada Ya Laana. Na Adam Alikuwa Na Watoto Wengi Wakike Na Kiume Hivyo Wakaoana Wenyewe Na Kuzaa Watoto Ambao Wakaendeleza Yale Maagizo Zaeni Mkaongezeke Na Kuijaza Dunia
 
Aibu gani hii jamani!!! Hivi kweli unaamini wewe ni laana!! Ndugu yangu katusyo achana na hivyo vitabu unavyosoma vinakupotosha
 
kaka emu naomba hicho kifungu kinacho support hayo uyasemayo na kinacho onyesha kuwa mtu mweusi alilaniwa
 
Kulitokea Watu Weus Baada Ya Laana. Na Adam Alikuwa Na Watoto Wengi Wakike Na Kiume Hivyo Wakaoana Wenyewe Na Kuzaa Watoto Ambao Wakaendeleza Yale Maagizo Zaeni Mkaongezeke Na Kuijaza Dunia

Kwahyo unamaanisha watu weusi tunalaana??
 
Jaman cc tunaamin kuwa mungu aliumba vtu vyote so hata kuku nae aliumbwa Kwanza Then kuku akataga yai mungu hakuumba yai jaman
 
Back
Top Bottom