Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

ni kwasababu sio wakamilifu

Kama ndio hivyo basi na Mungu ambaye ndio muumbaji na yeye pia si mkamilifu ana mapungufu kama yanavyoonekana kwenye uumbaji wake (kwa kuumba viumbe visivyo kamilifu kwa mf wake)
 
mwenye hekima huitazama dunia na kusema vyote hivi vinachanzo au msababishi basi kilichosababisha vyote natoa jina Mungu basi

Kwa nini awe Mungu na kisiwe kitu/mtu mwingine yoyote?

Hata ukisema Mungu bado utashindwa kuthibitisha.

je kuna ulazima kujua yukoje wakati hata dunia na uumbaji wako tu unamashaka kufahamu

Kama kweli yeye ndiye aliyeniumba ulazima wa kumfahamu upo
 
(a)kwann hakuna mtume mweusi?....
(b) kwann walio leta uislam walifanya biashara ya utumwa na kuwahasi babu zetu? bado tukawaamin?
(c)kwann walio uleta ukristu walisababisha tuka tawaliwa? na hakuna mtume wa yesu mweusi ata mmoja?...
(d) wasinge kuja waarabu na wazungu waafrica tungekuwa tuna mwabudu mungu yupi?....
 
Kama ndio hivyo basi na Mungu ambaye ndio muumbaji na yeye pia si mkamilifu ana mapungufu kama yanavyoonekana kwenye uumbaji wake (kwa kuumba viumbe visivyo kamilifu kwa mf wake)

walipewa akili nyingi nguvu nyingi na uhuru mana wapo karibu na muumba ili wamsifu na kufata masharti na wakanyimwa kufanya mapenzi ,wakapewa uhuru wa kuhoji wakionacho HAPO NDO WALIKOSEA mana wao kwa mungu si wakamilifu ni yeye pekee ndo MTIMILIFU
 
(a)kwann hakuna mtume mweusi?....
(b) kwann walio leta uislam walifanya biashara ya utumwa na kuwahasi babu zetu? bado tukawaamin?
(c)kwann walio uleta ukristu walisababisha tuka tawaliwa? na hakuna mtume wa yesu mweusi ata mmoja?...
(d) wasinge kuja waarabu na wazungu waafrica tungekuwa tuna mwabudu mungu yupi?....

1.hatuangali rangi ya mwili tunapokea maneno ya njia .
2.dini na utumwa ni vitu viwili tofauti
3.yeyote mwenye akili zaidi atamtawala mwenzake
4.neno la bwana litahubiriwa dunia nzima
 
maswali yako huwa YANANIBOA sana jmn,hapo sasas hujaelewa nini?unaniuliza tena Mungu ni nini wakati nishauliza na sijui katokea wapi....
What is ur objective labda?mana sio mara ya kwanza na sio kwangu tu

Hujui uzito wa ulichokiuliza ndio maana unadai maswali yanakuboa

Kama huwezi kujibu na kuuliza maswali huwezi kujua unachotaka kujua

Nyie watu sijui vipi mnataka kujua hata yale mambo magumu bila kutafakari sijui ndio njia gani hiyo ya kujua

Kwa kushindwa kwako kujua lengo la maswali yangu ni ishara ya kutokuelewa hata yana lengo gani

Lakini kikubwa zaidi ni kuwa hata maswali yako hujui yanataka ujue nini

Unauliza tu kwasababu kuna kuuliza!
 
huku ndani IQ zingine hewa ,unapoteza nguvu njo huku NWO kuna wabishi tuwaponye cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:
kwanini kuna kifo na nini lengo lake? Na je hakuna altenative nyingine?

Economic importance of death hata kwenye biology ipo
-to support ecosystem
-complete life cycle
-provide space/room for the new born
-religious reasons
-ones desire etc...
Alternative of death....still scientists in the lab looking for solution. .
 
Back
Top Bottom