Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Katika kujifunza nilipata maana nyingi na sifa kibao za Mungu, lakini kikubwa niliambiwa mungu ni roho.

Swali langu likabaki pale pale kama yeye ni roho, hiyo roho ilitoka wapi?
Na uwezo wake je?
Uliujua?
Nilijifunza kuhusiana na Mungu wa biblia.
Anaitwa nani?
Sasa mkuu naomba unijibu wewe unajua Mungu alitoka wapi?
Bado hujamjua Mungu
Hivyo bado huhitajiki kuuliza hili swali

Kuambiwa kuwa fulani ni binadamu sio kujua huko
Kuambiwa Mungu ni roho sio kumjua

Jifunze uwezo wake wote na ujifunze kama uwepo wake unategemea chochote kama vile ambavyo uwepo wa binadamu unavyotegemea sheria zinazouongoza ulimwengu ili awepo!
 
Hujui uzito wa ulichokiuliza ndio maana unadai maswali yanakuboa

Kama huwezi kujibu na kuuliza maswali huwezi kujua unachotaka kujua

Nyie watu sijui vipi mnataka kujua hata yale mambo magumu bila kutafakari sijui ndio njia gani hiyo ya kujua

Kwa kushindwa kwako kujua lengo la maswali yangu ni ishara ya kutokuelewa hata yana lengo gani

Lakini kikubwa zaidi ni kuwa hata maswali yako hujui yanataka ujue nini

Unauliza tu kwasababu kuna kuuliza!

unajitia machi know wewe,as if u know everything....ila in real sense U DONT KNOW EVERYTHING,kwani maswali yako ndo measure ya uelewa wangu?????kama huna majibu ya maswali yangu basiii...kuuliza si ujinga,nimeuliza cause nimeshindwa kupata majibu,wewe kuniuliza juu ya hapo hunisaidii,na kuanza kuchambua my statuo quo that sielewi nnachouliza ndo kabisaaa ur making me question ur reasoning ability......
 
unajitia machi know wewe,as if u know everything....ila in real sense U DONT KNOW EVERYTHING,
Muchi know ndio nini?

Halafu unajua maana ya kujua kila kitu na kutokujua kila kitu?
Hakuna binadamu anaejua kilakitu
Lakini zaidi sana hakuna asiejua kilakitu,na hawezi kuwepo kwakuwa asingeweza kuishi

Kitendo tu cha wewe kufikiri hayo ni ishara ya umbumbu ulionao
kwani maswali yako ndo measure ya uelewa wangu?????
Sijui umefikiria hivi kwasababu gani,lakini kama ungekuwa unajua umuhimu wa maswali ungejibu na wala usingeleta longolongo za ajabu hivi

Nilichokuuliza kilikuwa hakinisaidii mimi bali wewe ili uweze kupata majibu ya kile ambacho unataka kujua lakini kwakuwa hata umuhimu wa maswali yangu hujauona ni wazi kuwa hata maswali yako hujajua yalikuwa yanahitaji majibu ya namna gani
kama huna majibu ya maswali yangu basiii...
Sio kila swali linahitaji jibu binti

Unaweza kuuliza swali ukajibiwa kwa swali,swali uliloulizwa ukilijibu litakupa jibu la swali lako
Kama hata hili hulijui ni bora uache kabisa kujadili masuala yanayomhusu Mungu
kuuliza si ujinga,nimeuliza cause nimeshindwa kupata majibu,
Kushindwa kupata majibu kunasababishwa na mambo mengi sana

Unaweza kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri
Unaweza kuwa hujui kutafiti kuhusiana na unachotaka kujua
Unaweza kuwa na matatizo ya kimtazamo
N.k

Mambo ni mengi yanayoweza kumfanya mtu asipate majibu ya kile ambacho anahitaji au kudhani kujua,hivyo unatakiwa ujikague kwanza kabla ya kuanza kuuliza uliza
wewe kuniuliza juu ya hapo hunisaidii,
Kushindwa kwako mkujua kama nakusaidia ni ishara nyingine ya wewe kutokujua hata ni aina gani ya msaada unauhitaji

Hebu nenda kwanza kajiulize kuhusiana na unachohitaji kisha urudi hapa
na kuanza kuchambua my statuo quo that sielewi nnachouliza ndo kabisaaa ur making me question ur reasoning ability......
Sioni tatizo wewe kuhoji uwezo wangu wa ku reason kwani hilo ni jambo la msingi zaidi

Tatizo ni kile kinachokufanya utilie mashaka huo uwezo wangu

Unajichanganya sana
Hujui chochote kuhusu Mungu na unakuja hapa kuuliza na unajipangia majibu ya kupewa,unashangaza hata kuliko kushangaza kwenyewe

Rudi kajifikirie upya kisha uje hapa,unadhani Mungu ni wa kukurupukia tu?
 
Somehow we are born knowing good and bad....ndio maana ukitaka kupigana na mzazi wako unaona si sawa kufanya hivyo...kwahiyo kusema kwamba Mungu ameshindwa kuzuia dhambi si sahihi kwa kuwa amekupa uwezo wa kujui dhambi ni ipi na safi ni ipi...ukidanganywa unajisikia vibaya kwahiyo kwanini na wewe udanganye ? Na ukifanya dhambi dhamira inakusuta kabisa....so Mungu ametupa uwezo
 
1.hatuangali rangi ya mwili tunapokea maneno ya njia .
2.dini na utumwa ni vitu viwili tofauti
3.yeyote mwenye akili zaidi atamtawala mwenzake
4.neno la bwana litahubiriwa dunia nzima

maswali yangu yanejibika kabisa....
 
Na uwezo wake je?
Uliujua?

Anaitwa nani?

Bado hujamjua Mungu
Hivyo bado huhitajiki kuuliza hili swali

Kuambiwa kuwa fulani ni binadamu sio kujua huko
Kuambiwa Mungu ni roho sio kumjua

Jifunze uwezo wake wote na ujifunze kama uwepo wake unategemea chochote kama vile ambavyo uwepo wa binadamu unavyotegemea sheria zinazouongoza ulimwengu ili awepo!

Unashindwa kujibu hoja mkuu, hayo yote unayoniambia nijifunze nayafahamu.

Hata nikiendelea kukujibu utaendelea kuniuliza, nimekuuliza swali moja tu hutaki kujibu. Hapa tutakesha mkuu, wewe huwezi kumfundisha mtu.

Hata mwalimu darasan huwa anajibu kwanza kabla ya kuuliza maswali mengine.
 
Muchi know ndio nini?

Halafu unajua maana ya kujua kila kitu na kutokujua kila kitu?
Hakuna binadamu anaejua kilakitu
Lakini zaidi sana hakuna asiejua kilakitu,na hawezi kuwepo kwakuwa asingeweza kuishi

Kitendo tu cha wewe kufikiri hayo ni ishara ya umbumbu ulionao

Sijui umefikiria hivi kwasababu gani,lakini kama ungekuwa unajua umuhimu wa maswali ungejibu na wala usingeleta longolongo za ajabu hivi

Nilichokuuliza kilikuwa hakinisaidii mimi bali wewe ili uweze kupata majibu ya kile ambacho unataka kujua lakini kwakuwa hata umuhimu wa maswali yangu hujauona ni wazi kuwa hata maswali yako hujajua yalikuwa yanahitaji majibu ya namna gani

Sio kila swali linahitaji jibu binti

Unaweza kuuliza swali ukajibiwa kwa swali,swali uliloulizwa ukilijibu litakupa jibu la swali lako
Kama hata hili hulijui ni bora uache kabisa kujadili masuala yanayomhusu Mungu

Kushindwa kupata majibu kunasababishwa na mambo mengi sana

Unaweza kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri
Unaweza kuwa hujui kutafiti kuhusiana na unachotaka kujua
Unaweza kuwa na matatizo ya kimtazamo
N.k

Mambo ni mengi yanayoweza kumfanya mtu asipate majibu ya kile ambacho anahitaji au kudhani kujua,hivyo unatakiwa ujikague kwanza kabla ya kuanza kuuliza uliza

Kushindwa kwako mkujua kama nakusaidia ni ishara nyingine ya wewe kutokujua hata ni aina gani ya msaada unauhitaji

Hebu nenda kwanza kajiulize kuhusiana na unachohitaji kisha urudi hapa

Sioni tatizo wewe kuhoji uwezo wangu wa ku reason kwani hilo ni jambo la msingi zaidi

Tatizo ni kile kinachokufanya utilie mashaka huo uwezo wangu

Unajichanganya sana
Hujui chochote kuhusu Mungu na unakuja hapa kuuliza na unajipangia majibu ya kupewa,unashangaza hata kuliko kushangaza kwenyewe

Rudi kajifikirie upya kisha uje hapa,unadhani Mungu ni wa kukurupukia tu?

aiseee let me save my time,wewe ni zaidi ya ZIGO LA MISUMARIIII....and i advise u learn to conversate with people cause i must admit your long questions are not helping me even a pint,save ur energy and stick to the main points...
Mana all along naona unabwabwaja tu na majibu SIYAONIIII
 
maswali kama hivi gravitational force inatokana na nini haswa.....je ilikuwepo by nature au iliwekwa maksudically kwa kujua kitachofuata????
na je kwa nini ktk maji kuna vinavyozama na visivyozama?????
 
Unashindwa kujibu hoja mkuu, hayo yote unayonibia nijifunze nayafahamu.

Hata nikiendelea kukujibu utaendelea kuniuliza, nimekuuliza swali moja tu hutaki kujibu. Hapa tutakesha mkuu, wewe huwezi kumfundisha mtu.

Hata mwalimu darasan huwa anajibu kwanza kabla ya kuuliza maswali mengine.

umeona ehh,tumeuliza swali,jibu kama unajua,kaa kimya kama hujui,NICE AND EASY,what are the long questions for Eiyer???to prove that ur trying to be a philosopher or something,plssssss,spare us the time.....
 
Last edited by a moderator:

Anakimbia maswali kwa kuuliza maswali yasiyo na msingi
 
Last edited by a moderator:
Unashindwa kujibu hoja mkuu, hayo yote unayonibia nijifunze nayafahamu.
Hebu niambie uwezo wa Mungu
Hata nikiendelea kukujibu utaendelea kuniuliza, nimekuuliza swali moja tu hutaki kujibu. Hapa tutakesha mkuu, wewe huwezi kumfundisha mtu.
Hapa ndipo tatizo linapoanzia

Unapotaka kueleweshwa kuhusiana nausichokijua ni lazima ukubali kutokujua

Nilikuambia kuwa huwezi kuuliza Mungu alikoanzia kama unamjua
Wewe ukaja na kusema unamjua,nimekuuliza maswali ili nipate uhakika kuwa unamjua matokeo yake hujibu

Utawezaje kutaka kujua mwanzo wa kitu wakati hutaki kujibu kama unakijua hicho unachotaka kukijua
Kujua kitu ndio kutakufanya ujue kama kina mwanzo au laa,kama hilo hilijui basi utakuwa na kazi kubwa sana ya kufika huko unakotaka kwenda
Hata mwalimu darasan huwa anajibu kwanza kabla ya kuuliza maswali mengine.
Aisee ......

Unafikiri kila swali linajibiwa na jibu?

Mkuu hata wewe hujui hili?
Kama hujui hilo basi hutaweza kumjua Mungu achilia mbali kupata majibu ya unachotaka kujua!
 
umeona ehh,tumeuliza swali,jibu kama unajua,kaa kimya kama hujui,NICE AND EASY,what are the long questions for Eiyer???to prove that ur trying to be a philosopher or something,plssssss,spare us the time.....

Hizi ni ndoto zako tu

Kwa uwezo huu wa kufikiri sahau kupata majibu ya unachokitafuta!
 
Anakimbia maswali kwa kuuliza maswali yasiyo na msingi

Eiyer em save everybody's time including yours,lets get down and discuss facts hii mambo una question kila kitu weeee is no getting boriiing andstooping you so low,mana not every question is answered by a question,some need REAL ANSWERS,stop meandering,jibuu,kama hujui usituchoshe
 
Last edited by a moderator:
Anakimbia maswali kwa kuuliza maswali yasiyo na msingi

Nioneshe swali ambalo halina msingi na uniambie kwanini sio la msingi maana kusema tu ni rahisi lakini kutetea kwa hoja ulichokisemaq nako ni kazi nyingine kubwa kuliko ya mwanzo

Pia kuna kitu kingine,unaweza kuona swali halina msingi kwasababu tu umekosa majibu au umeshindwa kulielewa,kama umeshindwa kunielewa mimi tu ambae ni binadamu kama wewe utamuelewa Mungu kweli?
 
Back
Top Bottom