Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

ye ndo anajua???angekuwa anajua angejibu maswali in the first place na sio kuuliza mengine akidhani anajibu,it's illogical,na ndo mana ninamuuliza Eiyer je maswali yote yanajibiwa kwa maswali???mana he is just questioning,for what purpose,?mtu kauliza si ujibu tujue moja,unauliza kila kinachoulizwa??ARE U THINKING??

kwanini maswali yasijibiwe na swali?
 
Last edited by a moderator:

Usizungumze vitu ambavyo ukiulizwa maana yake hata hujui!!!!
 
unaeshangaza ni wewe,mana mtu kauliza swali unamuuliza swali juu,inahusuu??
I asked again fact ni nini ili nikupe a hint ya jinsi maswali unayouliza yasivyosaidia,bali yanazidi kuchanganya mambo

Dah!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sio kila swali linajibiwa na swali!

sasa kama unajua hilo,why are you posing questions everywhere??ni kwamba hujui kutofautisha the two au??
Kindly jifunze hata namna ya kumuelekeza mtu,mi nakubali sijui mengi ndo mana nkauliza,ur mediocre approach turned out to be too confusing mana hakuna nilichoelewa hata kidogo,..zaidi ya kuzidi kunichanganya,
umeulizwa jibu,unless necessary ndo uulize swali on top,sasa kila sehemu we ni kuuliza tuuu,SERIOUSLY???
 
kwanini maswali yasijibiwe na swali?

yapo maswali ya kujibiwa na maswali, sio yote,sadly eiyer asks questions everywhere,mi inanipa impression hajui anachojibu wala anachouliza as well,
 
Siondoki pande hii hadi Eiyer anijibu kama kila swali linajibiwa kwa swali??..ametuuliza mengi hata kuyahesabu shida,mui nataka jibu la hili moja tu,

MTU A.Hivi wanawake si wajinga sana?
MTU B.Kwanini umefikiria ni wajinga?
HOPE UMEONA KITU
 
Last edited by a moderator:
sasa kama unajua hilo,why are you posing questions everywhere??ni kwamba hujui kutofautisha the two au??
Kindly jifunze hata namna ya kumuelekeza mtu,mi nakubali sijui mengi ndo mana nkauliza,ur mediocre approach turned out to be too confusing mana hakuna nilichoelewa hata kidogo,..zaidi ya kuzidi kunichanganya,
umeulizwa jibu,unless necessary ndo uulize swali on top,sasa kila sehemu we ni kuuliza tuuu,SERIOUSLY???

Unashangaza sana

Unaongea mambo ya ajabu sana
Hivi unajua maana ya kila mahali?
Kuna anaeweza kuwepo kila mahali achilia mbali kuuliza kila mahali?

Aina yako ya kukurupuka ni ya ajabu sana

Kama unajua kuwa hujui ni kwanini unakuwa unapanga na aina ya majibu?
Au hata hujui maana ya kutokujua?

Kutokuelewa ni tatizo lako kwasababu labda huna huo uwezo na ndio maana "unakomfuzi"

Lazima nikuchanganye kwakuwa unadhani unaweza kuelewa mambo makubwa kama Mungu bila tafakuri

Narudia tena sio kila swali linajibiwa na jibu na sio kila swali linajibiwa na swali

Au hata hapo "umekomfyuzi"?
 
MTU A.Hivi wanawake si wajinga sana?
MTU B.Kwanini umefikiria ni wajinga?
HOPE UMEONA KITU

we nae walewale,sijakataa kwamba yapo maswali yanayojibiwa kwa maswali ,ila SIO YOTE, ukifatilia maswali ya eiyer anazidi kukuchanganya zaidi ya kukusaidia,KILA SEHEMU ANAULIZA TUUU ,kama anaajua sana si atoe jibu moja kwa moja
 
yapo maswali ya kujibiwa na maswali, sio yote,sadly eiyer asks questions everywhere,mi inanipa impression hajui anachojibu wala anachouliza as well,

umetumia kipimo gani kujua hajui kujibu au kuuliza?
 
Unashangaza sana

Unaongea mambo ya ajabu sana
Hivi unajua maana ya kila mahali?
Kuna anaeweza kuwepo kila mahali achilia mbali kuuliza kila mahali?

Aina yako ya kukurupuka ni ya ajabu sana

Kama unajua kuwa hujui ni kwanini unakuwa unapanga na aina ya majibu?
Au hata hujui maana ya kutokujua?

Kutokuelewa ni tatizo lako kwasababu labda huna huo uwezo na ndio maana "unakomfuzi"

Lazima nikuchanganye kwakuwa unadhani unaweza kuelewa mambo makubwa kama Mungu bila tafakuri

Narudia tena sio kila swali linajibiwa na jibu na sio kila swali linajibiwa na swali

Au hata hapo "umekomfyuzi"?

what i see,u fail to understamd the context of questions...
Mtu anakuuliza lets say,Mungu ametokea wapi?badala ya kujibu unaweka swali juu,
afterall mtoa mada aimed kuibua maswali yasiyojibika,na ndmana hata we majibu HUNAA,na hata mtu akikujibu bado unauliza tena,what are u doing?? trying to answer or to queston?
 
umetumia kipimo gani kujua hajui kujibu au kuuliza?

SIMUELEWIII,hii ni moja,mimi nimeuliza nataka kuelewa,pili hana uwezo wa kwenda straight to the point akafafanua jambo,tatu sioni akijenga hoja yoyote ya msingi zaidi ya kuuliza maswali,na hata akijibiwa anauliza tena na tena
 
we nae walewale,sijakataa kwamba yapo maswali yanayojibiwa kwa maswali ,ila SIO YOTE, ukifatilia maswali ya eiyer anazidi kukuchanganya zaidi ya kukusaidia,KILA SEHEMU ANAULIZA TUUU ,kama anaajua sana si atoe jibu moja kwa moja

anazidi kukuchanganya nini ?
kumbe unataka kusaidiwa.
Anakuuliza maswali ajue unaelewa unachouliza ,kama ndio ndo akupe jibu
 
maswali yangu nimeyauliza waaay back in the thread,na ninayaelewa ndo mana nikauliza, ye badala ya kujibu anauliza tuuu,kwa kila mtu anamuuliza tuuuu,hatoi majibu,hehh,ndo stlye gani hiyo
 
what i see,u fail to understamd the context of questions...
Mtu anakuuliza lets say,Mungu ametokea wapi?badala ya kujibu unaweka swali juu,
afterall mtoa mada aimed kuibua maswali yasiyojibika,na ndmana hata we majibu HUNAA,na hata mtu akikujibu bado unauliza tena,what are u doing?? trying to answer or to queston?
Unadhani wewe kuona kama ulivyoona ni tatizo?

Unaweza kuona katikati ya chumba chambo kuna mti wa mbuyu,halina tatizo kwani hivyo ndivyo unavyoona
Lakini kiukweli ni kuwa unaona hivyo kwasababu macho yako sio mazima

Tatizo halitakuwa la chumba ambacho wewe unaona mti ndani yake bali ni wewe

Nenda katibu macho yako kwanza ili uone vizuri

Wewe unauliza kuhusu Mungu wakati hata Mungu mwenyewe hujui anaitwa nani achilia mbali matege yaliyoko kwenye hilo swali lako

Nina sababu kubwa sana ya kutaka kujua kama unamjua huyo Mungu lakini kwakuwa wewe una fikra kama za nzi huwezi kujua

Nilipokuuliza "Unamjua Mungu"? kabla ya kujibu ulichouliza nilikuwa nataka kujua hilo,bahati mbaya huna uwezo wa kuelewa!
 
what i see,u fail to understamd the context of questions...
Mtu anakuuliza lets say,Mungu ametokea wapi?badala ya kujibu unaweka swali juu,
afterall mtoa mada aimed kuibua maswali yasiyojibika,na ndmana hata we majibu HUNAA,na hata mtu akikujibu bado unauliza tena,what are u doing?? trying to answer or to queston?

mf.Mungu ametokea wapi?
je wewe unamjua huyo unaeulizia katoka wapi?
na kama humjui unauliza nini?
kama unamjua unashindwaje kujua alipotoka
 
Back
Top Bottom