alisema na iwe hakuumba
kulikuwa na utupu
umba (create);- bring something into existance out of nothing(utupu) kwa hyo yupo sahihi akisema Mungu `aliumba'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alisema na iwe hakuumba
kulikuwa na utupu
umba (create);- bring something into existance out of nothing(utupu) kwa hyo yupo sahihi akisema Mungu `aliumba'
muda wadau walipojamiiana
ukweli Kifo cha balali tuliyemuona ujulikane kwanza ndipo tuhojo kuhusu Mungu tusiyemuona
pekudu penye joto marasaba ya jua ni katikati mwa dunia
Rumi 2:14-16
14 Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.
15 Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;
16 katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
Baba paroko naomba ufafanuzi kutoka kwenye hiyo mistari.
Hahahahaaa......wanasema uswahilini kuna vituko lakini mi nasema Tanzania kuna VITUKO!Kifo cha Balali ni Muvi la kihindi mkuu, bora hata obama alisema Osama wamemzka baharini kuliko hii ya Balali eti kazikwa marekani kaburi hatuonyeshwi!!!!
NI MENGI AISEE!
ONE divide by ZERO.......Haina jibu
inajibu sema alijulikani
Are you sure? What about log of 0?
Go back to the definition of a logarithm. It's the power that you raise a base to, in order to get the number you want.
10^3 = 1000, so log of 1000 = 3. (That's using base 10 logarithms, of course).
Now examine what happens as you reduce the power.
10^2 = 100
10^1 = 10
10^0 = 1
10^-1 = 0.1
10^-2 = 0.01
As for the log of zero, that would be the power that you have to raise 10 to in order to get zero. If you continue the pattern shown above, you can quickly see that the exponent would have to be negative infinity.
That's why log(0) is undefined.
undefined=GOD
Kwaheri...........
Kwanini tunatengeneza makombora na silaha nzito za kuuana na kuangamiza dunia tunayoishi wenyewe binadamu
Baba paroko naomba ufafanuzi kutoka kwenye hiyo mistari.
Umesema hashindwi chochote, sasa atashindwaje kubeba jiwe alilotengeneza mwenyewe?Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?