GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 13, 2024 #1 CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
M Miss Madeko JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 4,364 Reaction score 5,609 Jun 13, 2024 #2 Sina uhakia lakin yetu macho
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Jun 13, 2024 #3 Fikiria tena kaka,
Chatta g JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 585 Reaction score 955 Jun 13, 2024 #4 Oyaa genta, mwambie mshikaji wako aachie madaraka, yeye anataka kufia kweny kiti.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jun 13, 2024 #5 Nauliza tu ikiwa wale covid19 ni wanachama wa chadema waliopo bungeni, na chama chao hicho hakiwatambui, je chadema yao ikipasuka pande mbili wao watakuwa upande gani kati ya original na academia?
Nauliza tu ikiwa wale covid19 ni wanachama wa chadema waliopo bungeni, na chama chao hicho hakiwatambui, je chadema yao ikipasuka pande mbili wao watakuwa upande gani kati ya original na academia?