Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
CHADEMA ORIGINAL
  1. Freeman Mbowe
  2. Godbless Lema
  3. Joseph Mbilinyi

CHADEMA ACADEMIA
  1. Tundu Lissu
  2. Peter Msigwa
  3. John Heche
Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.​
 
Oyaa genta, mwambie mshikaji wako aachie madaraka, yeye anataka kufia kweny kiti.
 
Nauliza tu ikiwa wale covid19 ni wanachama wa chadema waliopo bungeni, na chama chao hicho hakiwatambui, je chadema yao ikipasuka pande mbili wao watakuwa upande gani kati ya original na academia?
 
Back
Top Bottom