Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!

Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye Nia NJEMA na nchi.

Mashaka yangu yanaenda Kwa hawa FISI.

1) FISI kama NAPE anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka kwenye makampuni ya simu ili Starlink wasiruhisiwe kufanya kaza Tanzania?

2) FISI kama MAKAMBA anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili umeme wa Tanzania uendelee kusumbua ili wauze majenereta na kuingia mikataba mibovu inayowapa faida wawekezaji?

3) FISI kama MWIGULU anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili tozo za mafuta na mikataba ya 10 percent zisiwepo Tanzania?

4) FISI kama KITILA MKUMBO anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kwa kutuletea wawekezaji fake wa magari ?

Kama rushwa imepenyezwa kiwango hiki Kwa mawaziri basi Hali ni mbaya Sana Kwa nchi hii na sidhani kama kuna MTU anaweza kukataa pesa za bure kama hizo, Kwa utawala huu wa rushwa uliopo wafanyabiashara wanapeta Sana na biashara zao zitafanikiwa Sana maana kila mtu yupo Kwaajili ya tumbo lake.....
 
Leo nimemshuhudia Waziri wa Ardhi Silaa 'akidai' amekwepa kupewa 300mn TZS kama rushwa. Pengine Dr alikua NTU wa dili?
 
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!!!
Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye Nia NJEMA na nchi.

Mashaka yangu yanaenda Kwa hawa FISI....
1) FISI kama NAPE anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka kwenye makampuni ya simu ili Starlink wasiruhisiwe kufanya kaza Tanzania?

2) FISI kama MAKAMBA anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili umeme wa Tanzania uendelee kusumbua ili wauze majenereta na kuingia mikataba mibovu inayowapa faida wawekezaji?

3) FISI kama MWIGULU anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili tozo za mafuta na mikataba ya 10 percent zisiwepo Tanzania?

4) FISI kama KITILA MKUMBO anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kwa kutuletea wawekezaji fake wa magari ?

....... Kama rushwa imepenyezwa kiwango hiki Kwa mawaziri basi Hali ni mbaya Sana Kwa nchi hii na sidhani kama kuna MTU anaweza kukataa pesa za bure kama hizo, Kwa utawala huu wa rushwa uliopo wafanyabiashara wanapeta Sana na biashara zao zitafanikiwa Sana maana kila mtu yupo Kwaajili ya tumbo lake.....
300m umeenda mbali Sana.
 
Angekuwa kakataa kweli tulipaswa kusikia aliyetoa rushwa yuko mikononi mwa takukuru
 
Lakini asingeikataa pia asingewadhalilisha wadau hadharani.
Kitendo cha kuwasema hadharani ni zaidi ya hukumu
Kutoa rushwa ni kosa kisheria nchini hapa,je aliyetoa hiyo rushwa iliyokataliwa yuko wapi?
i
 
Mnamsifia bure tu. Anajua vizuri Mabula alitolewa kwa sababu gani. Na anajua vizuri huu ilikua mtego. Siku akisitisha ujenzi wa kituo cha Lake Oil ndo nitajua hayumbishwi
Lake oil ana kiburi sana nchi hii.
Juzi mdogo wangu gari yake imegongwa mbele ya traffic zaidi ya 7.

Wameogopa kumchukulia dereva hatua.

Wote wakamwambia dogo kuwa hatuwezi kuchukua hatya tutahatarisha kazi zetu.

Na ukimpeleka polisi atatumwa dereva mwingine luja kuchukua gari mdani ya dakika chache na ndio kesi itafia pale.
 
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!!!
Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye Nia NJEMA na nchi.

Mashaka yangu yanaenda Kwa hawa FISI....
1) FISI kama NAPE anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka kwenye makampuni ya simu ili Starlink wasiruhisiwe kufanya kaza Tanzania?

2) FISI kama MAKAMBA anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili umeme wa Tanzania uendelee kusumbua ili wauze majenereta na kuingia mikataba mibovu inayowapa faida wawekezaji?

3) FISI kama MWIGULU anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili tozo za mafuta na mikataba ya 10 percent zisiwepo Tanzania?

4) FISI kama KITILA MKUMBO anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kwa kutuletea wawekezaji fake wa magari ?

....... Kama rushwa imepenyezwa kiwango hiki Kwa mawaziri basi Hali ni mbaya Sana Kwa nchi hii na sidhani kama kuna MTU anaweza kukataa pesa za bure kama hizo, Kwa utawala huu wa rushwa uliopo wafanyabiashara wanapeta Sana na biashara zao zitafanikiwa Sana maana kila mtu yupo Kwaajili ya tumbo lake.....
Wote wanaokataa katiba mpya hata Rushua ya laki tano,mfano tu wa zile posho za safari za kirushwa,rushwa za kikazi a.k.a safari mchongo kamwe hawawezi ruhusu kupatikana katiba mpya🤔.Tunaweza kusema wao na rushwa damu damu.
 
300m ni pesa ndogo mno hiyo ukipima na risk inayoambatana nazo, ndiyo maana kaona aipotezee tu.

Ame-take advantage kufikisha ujumbe wajipange wasiende kifala.

Kwa waliosoma Cuba walishaelewa hii code.
Nakubaliiii
 
Back
Top Bottom