Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!!!
Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye Nia NJEMA na nchi.

Mashaka yangu yanaenda Kwa hawa FISI....
1) FISI kama NAPE anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka kwenye makampuni ya simu ili Starlink wasiruhisiwe kufanya kaza Tanzania?

2) FISI kama MAKAMBA anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili umeme wa Tanzania uendelee kusumbua ili wauze majenereta na kuingia mikataba mibovu inayowapa faida wawekezaji?

3) FISI kama MWIGULU anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili tozo za mafuta na mikataba ya 10 percent zisiwepo Tanzania?

4) FISI kama KITILA MKUMBO anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kwa kutuletea wawekezaji fake wa magari ?

....... Kama rushwa imepenyezwa kiwango hiki Kwa mawaziri basi Hali ni mbaya Sana Kwa nchi hii na sidhani kama kuna MTU anaweza kukataa pesa za bure kama hizo, Kwa utawala huu wa rushwa uliopo wafanyabiashara wanapeta Sana na biashara zao zitafanikiwa Sana maana kila mtu yupo Kwaajili ya tumbo lake.....

Hata yeye siyo mwadilifu kwanini hakumchukulia hatua mtoa rushwa?
 
Kwann akatae kwenye majukwaa na si kuwapeleka takukuru ?
Yes bora awataarifu kabisa takukuru ili watoa rushwa wachukuliwe hatua. Isije kua anatusanifu watoa rushwa hawakua na tahdhari karibu alipukiwe hivyo kujidai kakataa hela.
 
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!

Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye Nia NJEMA na nchi.

Mashaka yangu yanaenda Kwa hawa FISI.

1) FISI kama NAPE anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka kwenye makampuni ya simu ili Starlink wasiruhisiwe kufanya kaza Tanzania?

2) FISI kama MAKAMBA anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili umeme wa Tanzania uendelee kusumbua ili wauze majenereta na kuingia mikataba mibovu inayowapa faida wawekezaji?

3) FISI kama MWIGULU anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kutoka Kwa wafanyabiashara ili tozo za mafuta na mikataba ya 10 percent zisiwepo Tanzania?

4) FISI kama KITILA MKUMBO anaweza kukataa rushwa ya milioni 300 kwa kutuletea wawekezaji fake wa magari ?

Kama rushwa imepenyezwa kiwango hiki Kwa mawaziri basi Hali ni mbaya Sana Kwa nchi hii na sidhani kama kuna MTU anaweza kukataa pesa za bure kama hizo, Kwa utawala huu wa rushwa uliopo wafanyabiashara wanapeta Sana na biashara zao zitafanikiwa Sana maana kila mtu yupo Kwaajili ya tumbo lake.....
hebu toa ushahidi wa ufisi wa hao watu
 
Kuna mmoja alikataa 2 billions namfahamu, Mungu ambariki sana mama yule(waziri).
 
Back
Top Bottom