Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

Ukisema umekataa maana yake unawajua wanaokubali...
Huu uchonganishi, awataje wanaokubali
 
Achana na huyo tapeli
 
Mbona hakumpeleka TAKUKURU huyo muhongaji?
 
Kabudi wa makenikia?? 300m mbna ndgo sana....Nape 300??? Sio kweli ndgo mnoo hyoo
 
Wanasiasa ni wafanyabiashara kupitia siasa..
Kupata ridhaa ya kisiasa ktk nchi Za kiafrika ni gharama kubwa mnoo..Udiwani,ubunge,urais..

Nini faida ya kuwa mwanasiasa ktk vyeo au nyadhifa husika?

Mathalani ili kuwa Diwani mgombea aweza kUtumia si chini ya 150 to 200 Million..Ubunge 300M to 600M,..Urais (DRC)-Katumbi?!!Ruto (Kenya)..Ramaphosa..
 
Hiyo.ilikua ndogo bwana.

Jamaa wanatupiga sana tu.

Wasitudanganye eti kuwa wanatupenda sana.
 
Umepatia sana. Fisi kama hao uliyowataja hawawezi bila shaka kukataa rushwa ya tshs milioni 300. Kuna wana tamaa ya urais na wanaamini kwenye ile mbinu ya lowassa kwamba unaweza kununua urais kwa hela.
Jambo moja tunakubaliana awamu hii ina wala rushwa wakubwa kuanzia kichwa.
 
Mkuu umetumia neno fisi kuwa nasibisha waheshimiwa wanne; Nape, Makamba, Mkumbo na Mwigilu.

Tuwekee ushahidi wa nyaraka za kuthibitisha ufisadi wao kiasi cha kuwafananisha na fisi!

Pia tufafanulie usafi wa Huyu Silaa toka akiwa meya wa jiji hadi ubunge. Unafahamu mchakato wa uchaguzi kwa wagombea wa udiwani, umeya na ubunge ndani ya CCM wewe?
 
aliyetaka kutoa rushwa na aliyeahidiwa kupokea rushwa wote wal rushwa
 
Jerry Slaa akikataa mil.300 natafuna ndala. Hana ubavu huo.
 
Slaa naye anatafuta attention tu, kashindwa Kuchukua rushwa kwasababu lile eneo wanaishi vigogo wastaafu ambao akizingua lazima wamkaange kwa Rais.Ingekuwa Buguruni au Tandale kwa Tumbo angekuwa kashavuta mpunga siku nyingi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
👍👏
 
Upo sahihi kabisaa kwasababu mitaa Ile kuna wakubwa wengi wa serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…