Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?


Hata yeye siyo mwadilifu kwanini hakumchukulia hatua mtoa rushwa?
 
Ndani ya CCM hakuna na hasa kuanzia awamu ya 4, 5 na 6!
Tena hii ya sita ndio worse
 
Kwann akatae kwenye majukwaa na si kuwapeleka takukuru ?
Yes bora awataarifu kabisa takukuru ili watoa rushwa wachukuliwe hatua. Isije kua anatusanifu watoa rushwa hawakua na tahdhari karibu alipukiwe hivyo kujidai kakataa hela.
 
hebu toa ushahidi wa ufisi wa hao watu
 
Kuna mmoja alikataa 2 billions namfahamu, Mungu ambariki sana mama yule(waziri).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…