Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Mzigua, yawezekana baada ya kukosea mara ya kwanza sasa umejenga hofu ya kurudia makosa, hiyo ndio inakusababisha uendelee kukosea.
Ila nikuulize hujawahi kumpiga mtu mkwanja wake? kama ulifanya hivyo ndo zinakutokea puani (jokin)
 
Lazima una mambo mengi sana.
Umri wako haujafikia hatua ya kuwa na mambo mengi mengi kama hivyo
 
Mzigua, yawezekana baada ya kukosea mara ya kwanza sasa umejenga hofu ya kurudia makosa, hiyo ndio inakusababisha uendelee kukosea.
Ila nikuulize hujawahi kumpiga mtu mkwanja wake? kama ulifanya hivyo ndo zinakutokea puani (jokin)
Sijawahi. Labda wanaonipa halafu nawarusha papuchi ila kutapeli kabisa hapana.
 
Pole mwaya inaelekea unamawazo sana jaribu kupumzisha akili yako kwa kufanya kitu unachokipenda lakini pia mtafute mwanasaikolojia atakusaidia vizuri zaidi na usisahau kupunguza nyenye sio nzuri kwa afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…